Wake kuwa wabahili kwa waume zao

Wake kuwa wabahili kwa waume zao

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,624
Reaction score
65,097
Wake wamekuwa wabahili kuwapa waume zao mapenzi motomoto. Wanaume wengi huishia kupewa staili moja au mbili na kufikia hitimisho. Ndio maana kuchepuka hakuishi, imefikia hatua kwa mwanamke kuamini ili akupe hizo huduma zote lazima umlipe fedha au yeye mwenyewe akuhudumie anavyojisikia.

Naamini kama mke angekuwa anatimiza wajibu wake kwa mume, mfano kumuandaa, kumpa mitego, pamoja na staili zote zinazotakiwa; mambo ya uchepukaji yasinge kuwepo.

Ndio maana wanaume wengi wanakimbilia kupata huduma za massage, lakini katika nafsi zao kuna wanchokifikiria.
 
Back
Top Bottom