Maneno gani yaliwahi kukupa points za ushindi dhidi ya mdada uliyemfuatilia muda mrefu anakupotezea?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wakuu kuna wadada hujitia misimamo tunapowahitajia but wanaume kama tumemuelewa mwanamke huwa hatukubali kushindwa kirahisi.

Kuna mrembo niliwahi mwelewa miaka ya nyuma, nikamweleza zaidi ya mara 3 ananitolea nje, sasa siku1 nikiwa katika harakati za kufuta namba yake nikajisemea nijaribu mara ya mwisho.

Nikamuandikia ujumbe usemao "NAJUA VYOTE VYA THAMANI HUA HAVIPATIKANI KIRAHISI NDO MAANA HATA MI NATAABIKA KUKUPATA WEWE, KWA KUA WEWE NDO MTEULE WA MOYO ACHA NIENDELEE KUTESEKA AJILI YAKO"

Baada ya nusu saa alijibu "maneno yako yameugusa moyo wangu hivo sina neno juu yako, samahani kwa usumbufu wote uloupata ajil yangu" nilifurahi sana na kilichofuata ilikua ni kula tunda lake.

Tangu siku hiyo niliamini kumbe ukiacha na uchawi wa pesa kwa wadada uchawi mwingine ambao huwanasa ni maneno mazuri, maneno mazuri huwafanya wadada wajione wapekee na kumuona wa thaman anaewatamkia maneno yale.

Je, kwa upande wako maneno gani yaliwahi kukupa ushindi dhidi ya ke uliemfuatilia mda mrefu?
 
mi nilimuambia "MKE WANGU ANGEKUWA NA VIMACHO NA SWAGGA KAMA ZAKO HAKIKA NISINGEKUWA NATOKA NYUMBANI.... " basi alifurahi huyo eti akasema KWAHIYO MI MZURI?.. ILA WE MKAKA MMH HAYA BWANA!!

Saa moja iliyofuata tulijikuta tupo chumba no. 12 gest moja hivi hapa mtaani
 
Hakuna maneno kama message ya muamala wa pesa kwenye simu yake.
Yaani hii inaondoa ukungu wote uliokuwa inasababisha asikuone vizuri.!!
Vijana tutafute pesa tu
 
Wakuu kuna wadada hujitia misimamo tunapowahitajia but wanaume kama tumemuelewa mwanamke huwa hatukubali kushindwa kirahisi.

Kuna mrembo niliwahi mwelewa miaka ya nyuma, nikamweleza zaidi ya mara 3 ananitolea nje, sasa siku1 nikiwa katika harakati za kufuta namba yake nikajisemea nijaribu mara ya mwisho.

Nikamuandikia ujumbe usemao "NAJUA VYOTE VYA THAMANI HUA HAVIPATIKANI KIRAHISI NDO MAANA HATA MI NATAABIKA KUKUPATA WEWE, KWA KUA WEWE NDO MTEULE WA MOYO ACHA NIENDELEE KUTESEKA AJILI YAKO"

Baada ya nusu saa alijibu "maneno yako yameugusa moyo wangu hivo sina neno juu yako, samahani kwa usumbufu wote uloupata ajil yangu" nilifurahi sana na kilichofuata ilikua ni kula tunda lake.

Tangu siku hiyo niliamini kumbe ukiacha na uchawi wa pesa kwa wadada uchawi mwingine ambao huwanasa ni maneno mazuri, maneno mazuri huwafanya wadada wajione wapekee na kumuona wa thaman anaewatamkia maneno yale.

Je, kwa upande wako maneno gani yaliwahi kukupa ushindi dhidi ya ke uliemfuatilia mda mrefu?
Mkuu hizo ngonjera tu,,,mwingine angekutwanga na maswali ya maudhi..
Sasa nikusaidiaje?
Ukiachwa achika,
Hivi kwani mapenzi lazima?
Tafuta unaefanana nae,,
Endelea kuteseka,
Mimi sio type yako..
Tena ukizidi kunisumbuwa nakublock.
Dawa ya mwanamke pesa tu. ,
 
Back
Top Bottom