Mpenzi wangu yupo katika hatua ya kuniacha, nifanyeje bado nampenda?

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
278
Ndugu zangu wana JF baada ya kufatilia mwenendo wa mpenzi kitabia nimegundua yupo katika hatua ya kuniacha Ili aendelee na maisha yake.

Mwanzoni nilidhani mgogoro wetu licha ya kumuonesha najutia makosa niliomtendea kumuomba msamaha, kubadilika kitabia, kuwa mpole kujitahidi kufanya yote ili kumridhisha lakini ahaaaa wapi hajabadilika na ninachokiona yupo kwenye hatua ya kuniacha.

Kwa kweli hofu imetanda moyoni mwangu sina raha nashidwa kufanya kazi zangu.
 
Shida nini kama Je umewahi kumsaliti na kulala na mwingine? Kama ndivo jiandae kisaikolojia mimi mwenyewe kati ya makosa ambayo siwezi kusamehe ni Kubombewa hapo sina option kabisa, Yani ukiniwekea sumu naweza kukubali hata vikao vya wazee kutafuta suluhu ila sio kuchapiwa hilo ni huwa nasema nina option moja mezani kupiga chini
 
Yani ni hofu na mashaka tele/
Sijui kwanini huyu mzee kawa na roho ya ...

Mkuu kuachwa kubaya sana, fanya utangulie umuache wewe.
 
Ni ngumu ila nishawahi kufanya twice ilinisaidia 30% ningepigwa chini maumivu yangu 100% nilipitia maumivu 70% na wapinzani walipitia 30% zilizobaki
 
Shida nini kama Je umewahi kumsaliti na kulala na mwingine? Kama ndivo jiandae kisaikolojia mimi mwenyewe kati ya makosa ambayo siwezi kusamehe ni Kubombewa hapo sina option kabisa, Yani ukiniwekea sumu naweza kukubali hata vikao vya wazee kutafuta suluhu ila sio kuchapiwa hilo ni huwa nasema nina option moja mezani kupiga chini

Ila wewe kuchapia wenzako ni sawa tu ....

Ukikua utaacha.
 
Shida nini kama Je umewahi kumsaliti na kulala na mwingine? Kama ndivo jiandae kisaikolojia mimi mwenyewe kati ya makosa ambayo siwezi kusamehe ni Kubombewa hapo sina option kabisa, Yani ukiniwekea sumu naweza kukubali hata vikao vya wazee kutafuta suluhu ila sio kuchapiwa hilo ni huwa nasema nina option moja mezani kupiga chini

Hapana ila maelezo yake amekuwa akinieleza huu uhusiano wangu na yeye anauona hauna future nzuri lakini pia upendo wake na hisia zake Kwangu zipo chini sana moyo wake umekufa ganzi
 
Pole sana mkuu natamani nikuulize in deep ila nahisi hautafunguka kwa sababu hapa ni public
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom