Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako. Nitashangaa sana nikiona kuna Mwanaume mwenzangu wa Kiafrika atasema kuwa Yeye Mkewe/Mpenzi wake...
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.
Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia...
Wasalaam jf,
Nina mahusiano na mkaka huyu ambaye tunapendana sana na Mungu akipenda tunatarajia kuoana kabla ya mwezi wa saba
Toka tumeanza mahusiano hatukuwahi kufanya mapenzi na yeye ndie...
I'm Zagarino
Natafuta friend wa Ku chat nae coz sms za Voda kila siku nimezichoka..
Mara umeishiwa salio..Dahh.
Sina vigezo vingi mi sio mwanasheria
age 19-24
Marital status no comment...
Let...
Huyu dada nlikutana naye dar mwaka huo wa tukio ikiwa ni jioni nmeenda sehemu nipate chakula cha jioni.alikuwa amekaa peke yake na mbele yake kuna sahani ya kuku mzima na chips huku ana box la...
Amani iwe nanyi wakuu.
Juzi kipindi natoka kazini mida ya saa nne usiku, nilivyofika maeneo ya majumba sita, wanaokaa Ukonga wanapafahamu hapo.
Nikakutana na dada mmoja muda huo natafuta sehemu...
Mapenzi yana mambo mengi.Vijana wa leo wenyewe wanakwambia "mapenzi pesa"
Tena wanakwambia ukimpenda mtu mwambie haraka wanatumia neno mtongoze acha ushamba.
Ila inaonekana kadri unavyoficha...
Wakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani
Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa...
kama umekuja tuu jf kuropoka unachojisikia, na huna interest na PM za madada wa humu kama mimi, basi ukijiunga JF unaweza ukajibatiza jina lolote, hata la kikatuni kama langu... lakini kama...
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini?
Hebu leo mtujuze.
Mi sielewi kabisa mkiwa kwenye miaka ya kumi na mpaka 20 na.. mnakuwa mnatukimbiza kwelikweli mpaka mioyo inatoka jasho!.
Sasa shughuli mfikie 30's!!😜😂
Hapo wengine ndo wanakuwa michelini Mara...
Amani iwe nanyi.
Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya muda huo wote.
Nikiwa bize na mambo yangu ya...
Imebainika kuwa asilimia kubwa za wanaume ukifuatilia kwa ukaribu majina ya watoto wao wa kwanza au wa tatu waliozaa kwenye ndoa ,majina ya kike walio wapa watoto wao ni majina ya wanawake ambao...
Be warned
Marriage is meant to be a lifetime affair and is definitely not meant for everyone.
But if marriage is your thing, you got to be careful when choosing your life partner. You do not...
Miezi kadhaa iliyopita kabla ya Corona mkeo alienda Nairobi kuchukua mzigo kwa ajili ya biashara zake. Alitakiwa akae siku tatu. Lakini akakaa wiki mbili akisema anakusanya mzigo na maelezo mengi...
Wanawake wamekuwa wakihusishwa na pesa duniani kwa mitazamo tofauti mingine hasi na mingine Chanya.
Ni wazi kuwa bila wanawake Kuwepo Pesa isingekuwa na maana yeyote duniani.
Hata hivyo...
Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'
Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:
1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)...
Mwanaume anapendewa pesa au uwezo wake wa kubeba majukumu. Je, mwanamke anapendewa nini? Kwanini na yeye asipendewe pesa? Kwani kwenye mahusiano anayenufaika/kufaidi zaidi ni mwanaume?
Naombeni...
Siku unayogombana na mpenzi wako au kutokuwa na maelewano na mpenzi wako hadi kupelekea kununiana na kutokuwa na mawasiliano ya hapa na pale ndio siku unayompa uhuru mpenzi wako kuchepuka.
Hii ni...
Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha
Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na...