Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Juzi kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu, sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids. Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule binti akawa amenielewa balaa...
10 Reactions
112 Replies
12K Views
Kwa mara ya kwanza mimi nilipolala na aliyekuwa demu wangu usiku kucha yaani ilikuwa shida sana. Yaani nilikuwa kama dokta yupo na mgonjwa ICU. Nakumbuka ilikuwa Moshi maeneo ya Ushirika wa...
6 Reactions
44 Replies
13K Views
JF members whatsup! Kuna vitu ambayo watu wa rika tofauti hupenda kuwa navyo wakishapata mafanikio au pesa... Vijana huwa wakipata pesa cha kwanza wanachopendaga kununua huwa ni ndinga. Ili...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wamama wa siku hizi wameshindwa kabisa kufundisha watoto wao wa kike kuheshimu waume zao.Unakuta binti kwa sababu umemuoa naameshakuzalia watoto na tayari ashakuzoea basi anakukosea heshima. Sasa...
9 Reactions
47 Replies
15K Views
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia...
2 Reactions
85 Replies
19K Views
Ilibidi harusi ifanyike leo ila kutokana na bibi harusi kushinikiza vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa bwana harusi sherehe na ndoa vimeahirishwa. Bibi harusi amekataa Ukumbi (hauna hadhi), Keki ya...
16 Reactions
111 Replies
9K Views
huyu msichana nimemfatilia kwa mda mrefu sasa na amekuwa kama anakubali then baadae ananipotezea. so baada ya kumfuatilia sana anasema ana mtoto na jamaa mwingine na anasema kama ntakubaliana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu jana nimemkosea sana I swear sitofanya tena naomba namna nitavyoweza pata amani na jambo hili, jana nimekuja zangu mjini kutoka kituo changu cha kazi, naingia tu napigiwa simu na girlfriend...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
" Wasichana nawahusia msikimbilie wanaume wenye hela mkawakataa wasio nazo na kuwadharau. Pesa zinatafutwa pendaneni saidianeni kufikia mafanikio. Pengine wewe ndio mwenye ule ufunguo wa yeye...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanini Men ukiwa unasafiri mkoa mmoja kwenda mwengine na imetokea umekaa siti moja na Pisi/Manzi asilimia kubwa lazima utamtongoza either safarini au baada ya safari. Mimi kuna Pisi moja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana JF.Kwa sasa mjini eti unaambiwa msingi pesa sio maujanja. Wanawake wakitaka kudate na mtu utaskia utaweza mziki wangu hela unazo au ndo tutazungushana. Sasa huwa najiuliza na sisi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume wana furaha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wa jinsia kama yao..! Vice Versa pia wanaume wenye marafiki wengi wa kike wanafuraha ukilinganisha na...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa...
24 Reactions
128 Replies
14K Views
Utake usitake kuwa na mpenzi kuna Stress nyingi kuliko kuwa Hitman, mtu anaechakata akiwa na hamu baada ya hapo anafanya mambo yake, Mi ni muumini wa mapenzi ya haina hiyo ya Pili Hitman, Sinaga...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini za mchana huu wadau wa jamvi letu pendwabla MMU, natumaini mu wazima wa Afya na mnaendelea pilika pilika za kujitafutua ridhiki. Asee kuandika udhibnahitaji mawazo na michangi yenu...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari...
3 Reactions
144 Replies
18K Views
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki. Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na...
3 Reactions
62 Replies
11K Views
Jana nilitembelea mkoa x, Kanda ya pwani kwa ajili ya kuangalia fursa ya biashara nikafikia kwenye gest nzuri,ilikuwa mida ya saa 4 usiku, kutokana na uchovu wa safari si ku-concentrate sana kwa...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za wakati huu members wenzangu. Unaweza kukuta watu wanasema ni bora ukosee vyote katika maisha lakini si kukosea kuchagua mtu sahihi wa kuoa ama kuolewa naye. Unaweza kukuta mimi...
9 Reactions
90 Replies
24K Views
Wakuu naomba niende kwa mada Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya mzee kwa upande wa mama,japo mzee alikuwa na wake wanne. Na mama ndo alikuwa mke wa kwanza.Japo mzee alishatangulia mbele...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…