Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umzaniae ndie kumbe siye, Ameumbika kwelikweli, mrefu wa wastani ana mwili mkubwa lakini sio tinginya,mweusi tii anameremeta akipaka mafuta, ana kifua kipana na manyonyo yaliyojazia, analo pia...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Sifa zangu Natoboa 30 muda sio mrefu Nina kazi halali Nina Ft 6 Elimu ya wastani kiasi lakini kwa mtaani kwetu ni mmoja ya watu wasomi Sifa ya mwanamke anayehitajika Mrefu kiasi lkn asifike ft 6...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mfano mume na mke mnalala kwenye chumba cha self, choo humo humo ndani, mkeo au mmeo akienda kukata gogo mnavumilia vipi hiyo harufu mbaya? Mwenzi akitoka chooni? Au mnalala kitanda kimoja...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Nimezaa na kaka mmoja ila hakutaka kunioa japo mwanzo tulikubaliana kuoana baada ya kupata ujauzito akaniacha baadae nilipojifungua mtoto kafikisha miezi 6 kajirudi ananipa matumizi elfu 50 per...
3 Reactions
142 Replies
20K Views
How to handle rejection.(When you are in love with someone and they,after a short while dating you,fall for someone that they feel they need to settle with)πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Remember I'm not an expert so...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Getting a girl to fall for you takes time, energy, and lots of patience. If you treat a girl well and show her what makes you a great guy, she may come to appreciate you and fall for you in her...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Unajua sisi watu wenye future huwa tunajikinga sana na kujali maisha yetu. Nilipokuja Tanzania kuishi from Sweden nlikuwa namekuja na vifaa vyangu vya kupimia afya, HIV/AIDS na mengine ambayo ni...
11 Reactions
60 Replies
9K Views
Awee mpenzi wako au mke wako kamwe usije ukajaribu kushindana naye utaumia mpaka utajuta kwanini ulizaliwaa. Ukiona mwanamke wako ameanza kukuletea mauza uza anapenda sana ligi ili akuoneshe kama...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
1. Anakutafuta Mara mbili kwa siku asubuhi muda wa salamu na usiku muda wa kukutakia usiku mwema 2. Anaanza kuwa msiri katika kufanya vitu vyake kama zamani alikuwa anakwambia mambo yake ghafla...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi mtu alishawahi kutokewa na hii kitu yaani unapenda mtu kwa kumuonea huruma yaani humpendi ila huruma ila kutokana kumuonea huruma unamkubali tu?
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Hii ni changamoto inayowakuta vijana wengi sana pindi wanapowaalika kwa mara ya kwanza Ghetto wapenzi wao Mara nyingi hali hii hutokea ambapo binti ndio mara yake ya kwanza kuja Ghetto kwako...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Kabla ya Uhuru wakati Tanganyika ikiwa katika uangalizi wa Uingereza, kuna binti wa Kiingereza alikuja Tanganyika baada ya kumaliza mafunzo yake ya udaktari huko kwao. Daktari Mkuu katika...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna muda unafika baada ya kutokuelewana kwingi kutokea unaona huwezi kabisa kuishi naye hata kama unampenda kiasi gani. Yaani kwa jinsi unavompenda unaona atleast umuache aende angalau labda...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau, nina wiki moja sasa tanvu nimekuja Lushoto kikazi kutoka DSM,i tatizo sijapata zigo la kunituliza ugwadu wangu, tupeane macontacts basi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mambo vipi wana MMU, Nimekuja kwenu kupata tafsiri ya hii kitu mapenzi ukiangalia experience yako katika maisha uliyopitia mpaka sasa katika swala zima la mapenzi ikitokea ukaulizwa mapenzi ni...
0 Reactions
43 Replies
24K Views
Huu utaratibu wa kutokujali hisia za wenza wenu. Sijui niseme kujifanya kana kwamba hamna hisia au hamu ya wapenzi wenu. Yaani bila mume kuanza kuonyesha uhitaji wa tendo basi nanyi mnauchuna...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Closed
2 Reactions
10 Replies
44K Views
Wakuu Wasalaam, ni muda kidogo sijaweka andiko hapa! Kwanza kabisa poleni kwa msiba mkubwa wa kitaifa kupitia kuzama kwa Kivuko cha MV NYERERE, kama watanzania tulivyo ndugu kila mmoja aliguswa...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga. Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na...
13 Reactions
141 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…