Ukiona dalili zifuatazo ujue mpenzi wako amekuweka pending

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1. Anakutafuta Mara mbili kwa siku asubuhi muda wa salamu na usiku muda wa kukutakia usiku mwema

2. Anaanza kuwa msiri katika kufanya vitu vyake kama zamani alikuwa anakwambia mambo yake ghafla anaanza kuwa msirii

3. Ukianza kulalamika kuhusu mwenendo wake au tabia zake anarudisha mapenzi kwa nguvu atajifanyq anakupenda anakunyenyekea ili usimfikirie vibaya ila baada ya muda anarudia vile vile mpka utazoea utakuwa haulalamiki

4. Ukianza kuwa kimya na bize na mambo yako anaanza kulalamika unamtenga humpendi Mara umepatq mwingine

5. Akigundua kuna vitu umeanza kugundua kuhusu mwenendo wake atarudisha upendo haraka sana chochote unachotakq utapata

Haya endeeeni mwenzangu kupeana dalili za kuwa umewekwa pending
 
Wadogo zangu msiwekeze sana kwenye mapenzi,ukuumbwa ili uje uwe mpenzi wa fulani,dunia ina mambo Mengi ya kufanya,wewe ni zaidi ya mpenzi wa fulani,Hilo li medura oblangata haukupewa ili ulitumie wakati wa kuvuka barabara,lina kazi zaidi,tafuta pesa,jenga uchumi wako,saidia wengine,uone Kama karma haitakupa kitu kizuri Kama maraika,utapata mke/demu mzuri Kama maraika,au mine mzuri kupita nabii yusufu.

Sasa unahangaika nini?hakuna mwanamke mzuri anayetaka shida,tafuta cash Kama Mond,mengine utazidishiwa tu.
C mon! Hommies!!!Ur bigger than that! Think big!
 
kuna wangu kakiri kabixa aliniblock na kukaa kama mwez iv mie nkamkaushia,ila cha ajabu kanitxt juz mwenyew huk akiniomba msamaha na kusema ameshindwa kabxa kuniacha,nlichomjibu n kuwa bado nafac ipo na tuendelee tu tulipoishia,ila frankly speakng mwenyew namwelewa sanaaa na ndo shida inaanzia hapo
 
Wadogo zangu msiwekeze sana kwenye mapenzi,ukuumbwa ili uje uwe mpenzi wa fulani,dunia ina mambo Mengi ya kufanya,wewe ni zaidi ya mpenzi wa fulani,Hilo li medura oblangata haukupewa ili ulitumie wakati wa kuvuka barabara,lina kazi zaidi,tafuta pesa,jenga uchumi wako,saidia wengine,uone Kama karma haitakupa kitu kizuri Kama maraika,utapata mke/demu mzuri Kama maraika,au mine mzuri kupita nabii yusufu.

Sasa unahangaika nini?hakuna mwanamke mzuri anayetaka shida,tafuta cash Kama Mond,mengine utazidishiwa tu.
C mon! Hommies!!!Ur bigger than that! Think big!
Kweli kabisa mkuu.
 
1. Anakutafuta Mara mbili kwa siku asubuhi muda wa salamu na usiku muda wa kukutakia usiku mwema

2. Anaanza kuwa msiri katika kufanya vitu vyake kama zamani alikuwa anakwambia mambo yake ghafla anaanza kuwa msirii

3. Ukianza kulalamika kuhusu mwenendo wake au tabia zake anarudisha mapenzi kwa nguvu atajifanyq anakupenda anakunyenyekea ili usimfikirie vibaya ila baada ya muda anarudia vile vile mpka utazoea utakuwa haulalamiki

4. Ukianza kuwa kimya na bize na mambo yako anaanza kulalamika unamtenga humpendi Mara umepatq mwingine

5. Akigundua kuna vitu umeanza kugundua kuhusu mwenendo wake atarudisha upendo haraka sana chochote unachotakq utapata

Haya endeeeni mwenzangu kupeana dalili za kuwa umewekwa pending
hizi ni quality za mpe wako
 
Back
Top Bottom