Napata wapi zigo la kueleweka huku Lushoto?

Napata wapi zigo la kueleweka huku Lushoto?

Subiri uunganishwe na machicha mwiba waishie kukugeuza wewe. Tanga haina maskhara shekhe. Utajikuta ushalipiwa kila kitu urudi kwenu umevaa pampers.
 
Chukua tax yenye hadhi,mwambie akupeleke sehemu ambazo utapata hizo huduma
 
Back
Top Bottom