Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna umri flani ambao ndiyo hufaa sana kwa mwanamke kuolewa. Miaka 22-28 huu ni umri ambao wanawake wengi hudhani ni wakati mzuri kwao kuolewa na wanaume wengi hupenda kuoa wanawake walio katika...
60 Reactions
620 Replies
121K Views
Wote nawapenda na wote wana malengo chanya, Mimi ni mkristo nasiwezi kuwakataa wote. Naomba ushauri.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mahusiano yana mambo mengi sana. Ila kati ya watu ambao wanaona Kama hisia ni zao pekee yao ni wanawake wao wanahisi hisia wanazicontrol wao. Wanawake wana mambo ya ajabu kwenye mahusiano...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta mwanamke ana sura nzuri makalio makubwa hips pana, kifua chuchu saa sita, mrefu kiasi, rangi nzuri, anavaa vizuri na ananunikia marashi. Wanawake kama hawa mimi huwa nawaweka katika...
8 Reactions
127 Replies
31K Views
Itakujia hivi punde
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana JF,, Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa...
9 Reactions
110 Replies
15K Views
Hello JF Members. I have been observing several topics about relationships and Love.. But most of them are concentrating on the Negative Side of Love/Relationships. That may include: How...
0 Reactions
2 Replies
647 Views
Mimi ninachokijua na wengine ambao hatujui kuhusu Vinasaba. Mimi husikia wanasema Eti Mtoto akifanana na Mama Yake. Tafsiri yake ni kwamba Mwanamke/Mama alimzidi Mwanaume/Baba nguvu wakati wa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi, Heri ya mwaka 2020. Bila kupoteza muda, huu uzi ni maalumu kwa kutoa yako ya moyoni (kukiri) ama kwa kimombo (confessions) ya yote yaliyotokea mwaka 2019 na miaka ya nyuma yake ambayo...
8 Reactions
142 Replies
18K Views
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika...
19 Reactions
68 Replies
6K Views
Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba vitendo vya uvutaji bangi na biashara ya ukahaba kwa wanafunzi wake, vinachangiwa na askari wa Kituo kidogo cha Stakishari ambao...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kutokana na changamoto za kimazingira, kiuchumi na kijamii, watu wengi wamejikuta wakikosa furaha. Ni wazi kuwa kukosa furaha kuna madhara makubwa kwenye afya ya mwili, akili na hata katika...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Salam wana jukwaa, Natumaini mpo wazima wa afya. Naomba kueleweshwa nimekuwa na mahusiano na na mtu ambae amekeketwa yani sifurahii chochote tunapogegedana ila mambo mengine yupo vizuri...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari Wana jukwaa hili pendwa Ninaanza rasmi safari yangu ya ndoa itakayofanyika Kati ya 31 October Hadi 6 November mwaka 2022 Kwanza wale wanamaombi naomba mnikumbuke katika maombi yenu maana...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya kila jambo kunusuru mahusiano yangu na mwenzangu nimeshashindwa nimejaribu kuongea na mwenzangu kuelezea hisia zangu kwake na kutofurahia mabadiliko yake ya kitabia hayupo Kama...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama...
7 Reactions
122 Replies
39K Views
Me nakumbuka rafiki yangu alimnunulia Prado demu wake ikiwa ni mwezi mmoja tu wa relationship yao wakati yeye anatembea na gari aina ya Vits alafu wazazi hawajawanunulia wala nini. Baada ya miezi...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Baada ya mpambano mkali wa burudani ya gegedo kwa bed wanawake hupitiwa na usingizi wa haraka sana, mnaweza kua mnapga stori mbili tatu baada ya game unashtukia...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye...
14 Reactions
78 Replies
8K Views
Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako...
40 Reactions
212 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…