Tueleweshane hapa kuhusu watoto kufanana na mama/mwanamke

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Mimi ninachokijua na wengine ambao hatujui kuhusu Vinasaba.

Mimi husikia wanasema Eti Mtoto akifanana na Mama Yake. Tafsiri yake ni kwamba Mwanamke/Mama alimzidi Mwanaume/Baba nguvu wakati wa tendo hivyo kupelekea vinasaba asilimia kubwa kuchukuliwa kutoka kwa mama.

Halafu tunaelewaga eti Mtoto akifanana na Baba/Mwanaume basi eti tafsiri yake ni kuwa Mama/Mwanamke amezidiwa nguvu kupelekea vinasaba vingi kunakiriwa kutoka kwake.

Wakifanana na Mama Na Baba basi tafsiri yake ni kuwa nguvu baina ya mama na Baba zimebalance. Sasa hapo kwenye kufanana na Mama ndo kuna uzito.

Je, kuna ukweli wowote hapa? Kwanini watoto wengi wafanane na Mama Zao? Inakuaje pia kwa mtoto wa kiume naye kufanana na mama yake?
 
Mimi huwa naelewa kuwa mtoto akifanana na baba au mama

Ni kuwahi kufika kileleni kati ya wazazi wawili mmoja akiwahi kufika kabla ya mwenzie mimba ikitungwa mtoto atafanana na aliyewahi kukojoa
 
Back
Top Bottom