Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache 1...
35 Reactions
364 Replies
38K Views
Wanawake wanasemekana kuwa na upendo wa kweli mara nyingi. Ila wao wapo tofauti sana na Wanaume katika kuchagua mtu wa kumpenda. Wanawake hutumia muda mrefu kufanya maamuzi ya kumpenda mtu...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani wana JF mahusiano sasaivi yamekuwa kama mpira wa miguu yana usajili na refa ree. Refa ni mama mkwee mana anaweza sema ni penalt au faulu ila wanaharibu sana watoto wao wa kike Kwanza...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa...
23 Reactions
127 Replies
13K Views
Habari za mapumziko Wana MMU. Nachosema nikwamba kuna tabia ambayo inajitokeza kwa wanawake mala mahusiano yanapovunjika nazungumza hivi kwa kua nimeshudia hii kitu kwa rafiki zangu kadhaa na...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Dunia imepitia mabadiliko makubwa ya sayansi na teknolojia.Bila kusahau uanzishwaji wa vipodozi na vifaa vingine vya urembo. Utafiti unaonesha wanawake wa marekani na mabinti hutumia muda wao...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
QUOTED 5) Usitumie toilet paper karibu na uke. Kama utatumia tissue kujifutia ukitoka haja ndogo jitahidi isiguse uke. Tissue zimetengezwa na recyclable materials, ni uchafu.. 10) Kama unahitaji...
11 Reactions
302 Replies
39K Views
Yawezekana boyfriend wake wameachana kaamua kupost, hiyo ndio changamoto ya vibinti vyenye rangi. Kikianza kumwacha boyfriend hakitumii kanuni ya pythogras. Inatakiwa unapomwacha mtu unaanza...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Za jioni wadau. Mara nyingi inatokea kwenye familia zetu mzazi/wazazi/walezi wanakuwa wanazidisha upendo kwa maneno ama kwa vitendo kwa mtoto mmoja au baadhi huku wengine wakiachwa. Kwa wasomaji...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Ni mwendelezo wa visa na mikasa ya kweli kabisa. Yafuatayo yalimkuta rafiki yangu. Nilimkuta siku moja akiwa anaongea na binti kwenye simu niliwasubiri wamalize ndipo nikamuuliza vipi bro, kwani...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mtoto nimetokea kumpenda na niko tayari kumuoa ila nilivomfungukia tuu ameniambia ana mpenzi na akaniambia kipindi hiki niwe mwangalifu kwasababu mpenzi wake amerudi. Wazoefu naombeni...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wadada wengi wanakasumba ya kuwachukulia poa wanaume wenye miili, wengi hujiaminisha kuw wanaume wenye miili ya kati/ mikubwa wanavibamia kitu ambacho si sahihi...
2 Reactions
86 Replies
8K Views
"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me." Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika...
16 Reactions
220 Replies
15K Views
Enzi zile walikuwa wanapiga Nyeto kwa sababu mademu walikuwa wachache,yaani unaweza kuta kitaa kizima kina demu mmoja tu mkali alafu wahuni wote wanafukuzia, hapo ndipo ule msemo wa mwenye kisu...
11 Reactions
41 Replies
7K Views
Salaam wapendwa, niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kijana yoyote wenye umri ambao tunauita foolish age lazima alishawah tokewa na hali ya kutamani kua na kila mwanamke, na si mwanamke tu hapa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanaume unamchukuliane mwanamke huyuuu?? Mwanamke msomi, mwenye kazi nzuri Mwenye assets labda nyumba kiwanja Labda biashara 1 au 2 Kwa kifupi mwanamke ambaye amefanikiwa kiuchumi...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Ooh Yes. Mapenzi bwana kazi kweli kweli! Vijana huwa tuna moto Sana wakati ndo penzi/uhusiano unaanza wakati bado mkiwa couples (hamna watoto). Wengi huwa wanatamani wapate watoto na waanzishe...
7 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna demu nimemuelewa halafu sina hata mazoea naye ila tukionana tu tunaangalianaa kwa jicho la tatu[emoji2357][emoji2357][emoji2369]
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Makanisa na wenye uhitaji wa ndoa wote wamevurugwa, nimeenda kusali kanisa flani hivi mchungaji kasema wanawake ambao hawajaolewa wasimame Dah! Dah! Niliogopa wengine walijisahau wakakimbilia...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Niko kwenye mahusiano na single mother yapata miezi mitatu Sasa, na lengo lilikuwa nimuoe. Huyu mwenzang naona kidogo hajatulia maana nilifuma SMS kwenye simu yake akiwa bado anaendelea...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…