Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanajamvi wenzangu. Nimeoa askari polisi miaka miwili iliyopita, japo nilimkuta mwenzangu akiwa na mtoto wa kiume. Kutokana na maelezo yake Baba wa mtoto wake ni Police tena mwenye...
5 Reactions
231 Replies
30K Views
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake...
30 Reactions
189 Replies
17K Views
Kwa wale vijana wenzangu mliopo ndani ya mahusiano ukiona katika mahusiano yako hakuna upendo tambua ya kwamba hapo hakuna cha future wala maisha Unapoona mwenza wako amefikia hatua upendo wake...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Jamani ndoa nyingi mbona ni za people aged from 30+ kuna siri gani hapa. Watu wazima ndo wanaoana alafu eti Youths wao hawataki kuoa/kuolewa. Nimeshuhudia ndoa nyingi Ila asilimia kubwa...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Inawezekana kuolewa na Kaka wa ex wako?mtoto wa baba mkubwa wa ex wako. Aliesababisha mkaachana Ni ex .na Kaka mtu yupo ok yeye hajali anachotaka Ni kuwa mume na mke hajali past circumstances? Hii...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni wiki ya pili sasa toka mfungo na sikukuu ya idd lakini nafsi haiko huru kabisa sababu nimefungua mfungo wa ramadhan kwa utii na karma ya Allah kama ada lakini kilichotokea ni aibu na fedhea...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Baada ya kuona kimya hata siku angalau wanawake kuanzisha uzi unaohusiana na jambo linalowapeleka kwa waganga wa kienyeji ili kupata wanaume (ndoa) na kutuhabarisha kinachofanyika huko. Tunataka...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Nimejitahidi kuitafakari Love in three ways. Kupenda, Kupendwa na Kupendana Kupenda,hii huwa ni njia ya kwanza kabisa ya formation of relationships inatokea unampenda mtu man/woman then what...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekaa nikawaza hili nisipate jibu sahihi. Najia silaha ya mtoto ni kulia. Silaha ya mwanaume ni pesa. Silaha ya mwanamke ni ipi. Nimejaribu kuwazua nikadhani ni utii. Naomba mtazamo wako tafadhali
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Kila mmoja wetu bila kujali jinsia Ana ukomo wa mda wa kukaa bila kufanya mapenzi, wengine hawawezi kukaa week bila sex, wengine mwezi, wengine miezi kadhaa nk. Tupeane uzoefu hapa Wadau... Mm...
2 Reactions
106 Replies
13K Views
Uko na mke wako wa ndoa unamjig Sasa wakati mko kwenye climax kabla ya orgasm unamuuliza hivi kabla siajkuoa au toka nimekuoa umejig na wanaume wangapi maishani mwako? Anakuambia huku analia kwa...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Oya niadje wanangu Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa...
23 Reactions
131 Replies
10K Views
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi. Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa...
4 Reactions
132 Replies
11K Views
Vitabu vya dini vinasema "Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono take mwenyewe". Sifa za mwanamke mpumbavu 1: Amejaa Gubu ( nagging). Yaani malalamiko kila Kona. 2: Ananajisi kitanda...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa, Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati. Katika kujaribu kutafuta...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari, Nimekuwa nikisikia sana kuwa Mwanamke ni dhaifu. Akizungumziwa mwanamke udhaifu nao lazima uwepo hapo. Je, udhaifu huu ni upi? Mbona nikimuangalia wanawake wengi tu siwaoni kama dhaifu...
5 Reactions
107 Replies
12K Views
Habari wana JamiiForums. Natumai Jumatatu imeanza vyema tukiwa wenye siha njema.Kama sivyo nawaombea Mungu wote wasio katika ubora wao basi wairejee hali yao ya kawaida. Nina moja tu la kutaka...
2 Reactions
176 Replies
18K Views
Kwa wale mapro wenzangu toa sababu kwa nini unaenda kununua dada poa/malaya? Binafsi sababu yangu kubwa ni ucheap wao wa kuwapata na kupata huduma kwa haraka bila bughuza bughuza za kuombwa hela...
6 Reactions
183 Replies
44K Views
Anasimulia mdau, Naandika uzi huu takribani miaka nane tangu nilipopokea ushauri huu kutoka kwa huyu jamaa ambaye nilikuwa nikimuita braza aliyekuwa amepanga karibu kabisa na nyumbani. Ipo hivi...
10 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…