Usiombee kutendwa

Usiombee kutendwa

Captain A

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
164
Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake hata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano

Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu kunafukuta maumivu ambayo yanauma na ata umeze Lori la panadol sio rahisi kupata nafuu,binafsi hali hiyo imenikuta na kuna wakati natamani ata nisitoke nje kuona kinacho endelea ila ndio hivyo lazima maisha yaendelee.

Natamani nibadili namba ya simu pengine nahisi naweza kupata utulivu na kumkwepa ila nahisi nitapoteza watu wengi sana ambao tunasaidiana kimaisha,nipo kwenye msongo mzito sana wa mawazo

Hapa JF ndio sehemu pekee naweza kueleza hizi hisia ambazo siwezi Ku share na mtu yeyote physical ila nina uhakika na hili litapita.
 
pole mzee mwenyezi mungu atakujalia pisi kali zaidi ya iyo ilikumizi na utasau yote yaliokumiza nyuma
 
Mtu akikuacha shukuru tu pengine Mungu amekuepusha na balaa pia jua huyo hakuwa mpango wa Mungu awe wako.
 
Hebu kunywa kwanza maji ya kutosha mkuu.

Usikae pekee yako..,fanya vitu unavyovipenda ukiwa na marafiki zako
 
Hebu kunywa kwanza maji ya kutosha mkuu.

Usikae pekee yako..,fanya vitu unavyovipenda ukiwa na marafiki zako
Nimejaribu kila jambo mdau,sio jambo rahisi but still am fighting,hope na hili pia litapita.
 
Njoo Pm chap tuongee! You will feel good! Pole sana mkuu!

Katika maisha ni lazima kusonga mbele no matter what! Mungu akusimamie. Ukipata nafasi njoo inbox tupige story
 
Njoo Pm chap tuongee! You will feel good! Pole sana mkuu!

Katika maisha ni lazima kusonga mbele no matter what! Mungu akusimamie. Ukipata nafasi njoo inbox tupige story
Shukrani brother kwa ukarimu wako
 
Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake ata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano

Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu kunafukuta maumivu ambayo yanauma na ata umeze Lori la panadol sio rahisi kupata nafuu,binafsi hali hiyo imenikuta na kuna wakati natamani ata nisitoke nje kuona kinacho endelea ila ndio hivyo lazima maisha yaendelee.

Natamani nibadili namba ya simu pengine nahisi naweza kupata utulivu na kumkwepa ila nahisi nitapoteza watu wengi sana ambao tunasaidiana kimaisha,nipo kwenye msongo mzito sana wa mawazo

Hapa JF ndio sehemu pekee naweza kueleza hizi hisia ambazo siwezi Ku share na mtu yeyote physical ila nina uhakika na hili litapita.
Mkuu acha kabisa, maumivu yake ni makubwa sana , hapa naandika lakini mimi still nimepitia changamoto hiyo siku si nyingi , kweli niliumia sana hasa ukitegemea nilimpenda sana huyo mtoto lakini yeye akaniona BOYA .

Wenye pesa waka mchukua nikafuatilia ishu nzima , nikaja kumuuliza kwa kumtega amekataa kabisa kwamba sio kweli tena macho makavu kabisa.

Nikimuangalia nabaki kulia mwenyewe maana nawaza huyu nimfanyeje ila sina chakufanya namshangaa mpaka saa hii. Anawezaje kunidanganya kiasi hicho?

Kama anaweza kutembea na mtu mwingine akakataa mblele yangu atakuwa kanidanganya mangapi?

Acha tu man
 
Mim nmeachana na dem1 miaka 8 iliyopita..lakin kila siku huyo dada anafuta namba yangu au ku block na badae kuiachia ..siunajua tuu mtu akikublock utajua thru whatsap...pia huwa anani unfolow instagram...na ananifollow tena.sasa sielew yule dada ana matatzo gan...na huwa anafos nimuwish siku za bday yake ikifika...yaan ni miaka 8 imepita huwez amin....actualy yeye ndo alinifanya had nikawa player...sabab ni yeye sasaa hakuamin nilipomwacha had leo maana alijua nampenda sana....akawa ananifanyia vimbwanga
 
Back
Top Bottom