Ijue adha ya vitanda vya double decker,hii sitaisahau.

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Habari wana jf,katika kukumbuka yaliyopita kabla ya kuufunga huu mwaka,ndipo nikakumbuka hiki kisa cha miaka 8 iliyopita.

Ilikuwa college fulani hivi,chumba kimoja tuliishi wanachuo wanne,mie nikawa nalala kitanda cha chini na mwenzangu akawa analala kitanda cha juu.One day in the midnight,ghafla nikakuta naloa na maji yanayotoka kitanda cha juu,awali nikahisi ni ndoto nikijiuliza hii mvua imeingilia wapi tena?,basi nikaamka nijiridhishe,duh,e bwana ee,maji yalishuka pale kitandani ni balaa kijana nikawa nimelowa na godoro 3/4 nalo lililowa.

Fasta,nikamshusha jamaa wa juu anieleze kulikoni,jamaa akawa anatetemeka tu anaomba msamaha anasema ni bahati mbaya,jamaa zangu wengine walimind sana wakasema nimpe nakozi,nikawaambia hii ni bahati mbaya jamani maana haijawahi tokea,nikaishia kumpa agizo kuwa kukicha tu jamaa yangu,itabidi uanike godoro langu,ufue folonya,neti na mashuka yangu.Akakubali na ni kweli akatekeleza.Ila adhabu niliyoipata ni kwenda kuoga usiku huo.
MARRY X-MASS & HAPPY NEW YEAR.
 
Alikosea sana kupanda na chombo chenye maji juu, hakujua kwamba akigeuka usingizini anaweza kukigonga na maji yakamwagika.
 
Yani rafiki ana mkojo mrefu kiasi hiko hadi godoro limeloa na kukufikia wewe wa chini???

Sample ya hilo godoro pulizi? (picha)
 
Hiyo inawezekana mbona? Mi sijajua vyuoni wanatumia magodoro size gani lakini shuleni magodoro zi nyembamba sana kiasi kwamba akikojoa alafu akajibiringishia juu ya mkojo wake lazima utiririke kuelekea chini.
 
Acha kabisa bwana,yule jamaa utadhani mfuko wake una uwezo wa kuhifadhi lita 5 kabisa za maji chumvi,nilishangaa sana maana siyo kawaida.
 
Hiyo inawezekana mbona? Mi sijajua vyuoni wanatumia magodoro size gani lakini shuleni magodoro zi nyembamba sana kiasi kwamba akikojoa alafu akajibiringishia juu ya mkojo wake lazima utiririke kuelekea chini.
Sasa kama ni nyembamba kiasi hiko ukilala huumii?
 
Kadhia ya double decker ni kuanguka kwa wale wanaopenda kulala kwa nafasi.
 
Mm nlidhani chaga imevunjika kumbe jamaa kikojozi

Mm wakat nipo chuo kitanda changu nlimuita fundi aongeze uimara wa chaga maana mechi zangu nlikuwa napigia uwanja wa juu
 
Maisha yangu yote ya bunk beds, sikuwahi kulala cha chini. Kati ya visa navyovikumbuka vya enzi hiyo, ni stories za vibwengo. Kuna jamaa mmoja alitupiga samjo kuwa kibwengo mzee anapiga kama mishindo 150 hivi, so maisha yangu yote ilibidi kulala naangalia juu kulinda heshima.

Pia enzi hiyo, ndoto zangu zilikuwa kuwa rapper. Kati ya ngoma nilizokuwa nazipenda kuvunja ni hii hapa chini. Nikiwa nyokaa, nilikuwa najaribu sana kuwa as cool as he was.

​
 
Ilikua ni miaka ya 90 wakati nasoma Kidato cha 6,

mwanafunzi haumiagi. Ukiona umeumia unaamka unapumzika kisha unaendelea kupiga Usingizi.

Au wanaunganisha wawili kisha wanalala pamoja.
Anhaa
 
Basi kama ni ndoto,ile ilivunja rekodi ya dunia.
 
Alikosea sana kupanda na chombo chenye maji juu, hakujua kwamba akigeuka usingizini anaweza kukigonga na maji yakamwagika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umefikiria nje ya box
 
Daa ilitokea room kwetu tukiwa 3yrs, kulikuwa na beds 3 kwa mtu 6, jamaa alfajir mida kma saa kumi na moja ivi tunashangaa maji yanadondoka chini , tukaanza kujiuliza kitu gan tena kimetucibu!, kuangalia vzri kumbe jamaa wa juu ya kitanda chake anatiririsha maji (kajiotelea), tulimwamsha jamaa fasta adeki kisha akafue zile nguo alizokojolea. Ndo mana vitanda vya chini nilikuwa navichukia cna. Ucku mwema.
 
Habari wana jf,katika kukumbuka yaliyopita kabla ya kuufunga huu mwaka,ndipo nikakumbuka hiki kisa cha miaka 8 iliyopita.

Ilikuwa college fulani hivi,chumba kimoja tuliishi wanachuo wanne,mie nikawa nalala kitanda cha chini na mwenzangu akawa analala kitanda cha juu.One day in the midnight,ghafla nikakuta naloa na maji yanayotoka kitanda cha juu,awali nikahisi ni ndoto nikijiuliza hii mvua imeingilia wapi tena?,basi nikaamka nijiridhishe,duh,e bwana ee,maji yalishuka pale kitandani ni balaa kijana nikawa nimelowa na godoro 3/4 nalo lililowa.

Fasta,nikamshusha jamaa wa juu anieleze kulikoni,jamaa akawa anatetemeka tu anaomba msamaha anasema ni bahati mbaya,jamaa zangu wengine walimind sana wakasema nimpe nakozi,nikawaambia hii ni bahati mbaya jamani maana haijawahi tokea,nikaishia kumpa agizo kuwa kukicha tu jamaa yangu,itabidi uanike godoro langu,ufue folonya,neti na mashuka yangu.Akakubali na ni kweli akatekeleza.Ila adhabu niliyoipata ni kwenda kuoga usiku huo.
MARRY X-MASS & HAPPY NEW YEAR.
teh teh teh kweli ni vituko jamani Mi mwenyewe nilishawahi kukojolewa na aliyekuwa analala juu kwenye deka
 
Namkumbuka Zabibu form one pale Msalato Secondary ..nikiwa nimelala kidanda Cha chini..alikua anashusha kojo la hatari...Duuuh

Zabibu popote ulipo nakusalim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom