Ningekuwa mwanaume Maisha yangekuwa hivi

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Ningekuwa mwanaume ningeoa wanawake wengi.
Ningezaa na wengi na pia ningeshindikana kabisa kwa tabia mbovu ya umalaya nakula naacha nachuna sana napia sipendi kuhonga .

Ningekuwa napeleka wadada guest nakuwaacha huko sijalipa tena wale wanaotegemea mtelezo ndio wangelia kabisa.

Ningekuwa tegemezi ila kwangu kama MALAIKA.

nahudumia vyema tu kuanzia wife mpaka watoto.

HUYU NDIO KATOTO KAZURI KATIKA MTAZAMO WAKE .

KAMA ANGEKUWA MWANAUME
 
Ali anza kuota hivo hivo Beyonce (if I was a boy)
Ila Ndio hivo tena dreams & still dreaming...
 
usidhani ni rahisi hivo kumfanyia mwanamke ukatili huo kumuacha guest adhalilike wakati amekupa mwili wake tena bure, ungekua mwanaume ungewahurumia na kuwaheshimu wanawake wako
 
Me 👇...

If I were a boy
I think I could understand
How it feels to love a girl
I swear I'd be a better man
I'd listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you wanted
'Cause he's taken you for granted
And everything you had got destroyed
 
Ningekuwa mwanaume ningeoa wanawake wengi.
Ningezaa na wengi na pia ningeshindikana kabisa kwa tabia mbovu ya umalaya nakula naacha nachuna sana napia sipendi kuhonga .

Ningekuwa napeleka wadada guest nakuwaacha huko sijalipa tena wale wanaotegemea mtelezo ndio wangelia kabisa.

Ningekuwa tegemezi ila kwangu kama MALAIKA.

nahudumia vyema tu kuanzia wife mpaka watoto.

HUYU NDIO KATOTO KAZURI KATIKA MTAZAMO WAKE .

KAMA ANGEKUWA MWANAUME
Unashindwaje kuyafanya ukiwa mwanamke
 
Sasa cha ajabu ukitendewa hivo vilio mpaka serikali za mitaa , kweli hamueleweki
 
Ningekuwa mwanaume ningeoa wanawake wengi.
Ningezaa na wengi na pia ningeshindikana kabisa kwa tabia mbovu ya umalaya nakula naacha nachuna sana napia sipendi kuhonga .

Ningekuwa napeleka wadada guest nakuwaacha huko sijalipa tena wale wanaotegemea mtelezo ndio wangelia kabisa.

Ningekuwa tegemezi ila kwangu kama MALAIKA.

nahudumia vyema tu kuanzia wife mpaka watoto.

HUYU NDIO KATOTO KAZURI KATIKA MTAZAMO WAKE .

KAMA ANGEKUWA MWANAUME
Kwa mtindo huo ungekuwa ushapata yafuatayo
1. Kisonono
2. Ikimwi
3. Kupigwa sana kwa kufumaniwa.
4.Tatizo la nguvu za kiume.
5. Kifo
6. Umaskini wa kipato
7. Kulogwa kama sio tego
8. Kutelekezewa/kutelekeza watoto
9. Kufungwa
10. Madeni
11. Kusahau kabisa Imani na kutengwa na jamii nk
 
Ukitaka kujua mwanamke anataka mwanaume wa aina gani muulize angekuwa mwanaume angekuaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom