ushawai kua mtu kiuchawi aliye kufunga vifungo

never Se me

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
702
1,006
nilipo kuwa mtoto nilikuwa nikimuona mzee ajafanikiwa nilikuwa najiuliza ivi uyu alikuwa atafuti pesa mbona masikini ivi.

Ila sasa natambua kumbe wengine wamefungwa vifungo vibaya Sana na ndungu wa ukoo,
Unawezafungwa akuna kuoa au kuolewa, akuna kusoma ata ukisoma ufanikiwi, acha tu duniani kunawatu wana roho mbaya Sana , unaweza fanyiwa ivo na Baba/Mama/ Bibi....
nimewai kutana na Mshanajr alinisaidia kiasi ,kwakutumia chumvi tu nilianza kupata usingizi vizuri Ila bado vifungo vingine vipo pale pale nakiona cha mtemakuni.

je ni sahii kumua mtu aliye kufunga vifungo ata Kama ni mzazi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu
AE4B8D62-640C-41EE-B750-5F06B54BC823.jpeg
 
Your only limitations are self-imposed.

Achana na mawazo ya ajabu ajabu kama jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom