Inatokea unaingiaa na demu gheto kwa madhumuni ya kula tunda lakini unashangaaa demu anakukazia mwanzo mwisho na tunda hatoiii.
Je, hiii mabahariaa mnaichukuliaje?
Habari za leo wanajamvi.
Katika kipindi hiki ambacho upendo umeshamiri sana, kumekuwa na vitendo vingi vya usaliti ktk mahusiano hasa ya kimapenzi.
Wanaume kwa wanawake wamekua wakisalitiana...
Hope muwazima...! Mimi bado ninaendelea Kulia na wanaume wenzangu. Sipo hapa kuchochea , au kusema kuvuruga ndoa au kufanya wanaume tuwe wanyanyasaji hapana.
Kusudi langu ni kuwajenga wale...
Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata.
Ananipenda kuliko...
Si ulishasikia ile kauli ya jino kwa jino..? Sasa nikajaribu kuifata! Kumbe sikujua mwenzangu anameno mimi namapengo!
Aliponiblock nami si tu ya kwamba nikamblock bali nilimubuloku!.. haikuisha...
Kuna mdada alikutana na mkaka wakiwa safarini. Yule kaka akamuomba mdada namba ya simu, na njiani akamnunulia kila kitu alichotaka. Walipofika stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao...
Hi Ladies, gentlemen and baharias
Naomba nieleweke kuwa lengo langu si kupingana na hili bali nataka tu kueleweshwa. Katika kusoma kwangu biblia sijaona sehemu inayozuia mtu kuwa na wake zaidi ya...
Wakuu natumaini mnakumbuka oct 8 nilileta uzi hapa nikielezea kuhusu kisa cha mke wangu kuleta rafiki zake tuishi nao wakati anatambua kuwa nimepanga chumba kimoja.
Baada ya watu kunishauri sana...
Kun tatizo ambalo nimeliona sana kipindi hiki
Kuna mabinti wengi sana ambao wanaona ni sawa na kawaida kabisa kuwa na uhusiano na mume wa mtu na vijana ambao pia wanaona ni sawa kabisa kuwa na...
Basi ile baada ya kuweka miadi na mtoto akadai nimkute maeneo flani hv ya Raskazone,kidume nikaafiki nikajiweka sawa kila sekta mida ya jioni nikamuibukia mtoto.
Ile kufika salamu yake ilikuwa ni...
Mwanaume [emoji2905] hujaribiwa na Shetani [emoji84]akiwa na hela [emoji385][emoji385][emoji385]. Lakini shetani humkimbia [emoji2435] akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo...
Hatupimi urafiki kwa kuangalia Tumetoka mbali , Bali tunaangalia namna wanavyo gusa maisha yetu katika vipindi mbalimbali hasa ule wakati unaokua huna lolote , huna chochote na unakuwa unawahitaj...
Wakuu habari,
Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na...
Nimepitia baadhi ya thread humu ndani zinazungumzia masuala ya ndoa na changamoto
zake , nimeshtushwa na jinsi baadhi ya vijana ambavyo kwa uchangiaji wao inaonekana kabisa wako tayari...
Kuna wanawake ukiwa nao kwenye uhusiano ukitaka kumuacha inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana kila ukimwambia tuachane anazidi tu kuja kama wanajeshi wa Vietnam [emoji1264]
Yaani kila...
Hapa Ni makubarini,makaburini ya masultani, hapa ni Kunduchi, pembeni kidogo, kaskazini mwa jiji la DAR es Salaam.
Haya makaburini ya masultani, yamekuwepo hapa tangu karne ya 15, na yana simulizi...