TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,870
Bana nimenyaka kademu kamoja kakigoli (umri 20) mzigo nimeufungua mwenyewe kwenye makaratasi. Katoto ni kazuri, rangi ya mtume, kapo nachuro kanapaka vaseline tu, ngozi nyororoo haina doa, nywele kananyoa, tunyonyo kama embe bolibo hakavai ata bra, ka shepu ka kichokozi kiuno chembamba, nyuma lenzi mbinuko na miguu ya bia... kwakweli kananikosha sana kwa uzuri wake.
TATIZO
Sijui ni kwasababu ya utoto au ni ushamba, ila haka katoto bana kwenye swala zima la mavazi hakapo kabisa. Nikitaka kutoka nako out kanaweza piga m-sketi mmoja mkubwaaa na li blauzi au li tisheti la Man-Yuu. Au mgauni/kitenge kama kanaenda chechi. Yaani hua inabidi nijifiche sana nikiwa nako ili hata washkaji wasije wakaniona maana watacheka sana. Kiufupi ukikutana nako ghafla unaweza dhani ni beki tatu anafuata ndizi sokoni kwa jinsi kanavyovaa. Hakuna cha shepu, mguu wala nini kinachoonekana kwa huo uvaaji!
TATIZO KUBWA ZAIDI
Nimeshawaza sana kuhusu kukabadilisha kwa maana ya kukanunulia pamba za maana na kukapiga sopsop. Najua naweza zama shop au hata mtumbani nikakachukulia tops kali, jeans, visketi vya kijanja, accessories nk. Shida yangu ni kwamba, kwa jinsi kalivyo kazuri nikianza kukavalisha pamba lets say za kubana bana kidogo, kashepu kakachomoza, mguu ukaonekana, na ile rangi yake lazima mafisi yataanza kukasarandia!! Kwa jinsi kalivyo sasa, ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili kukatokea na hiyo ndio pona yangu.
Sasa hebu nishaurini wananzengo, nikaache hivyo hivyo niendelee kukafaidi mwenyewe chumbani au nikaboreshe kidogo angalau niweze hata kutembea nako njiani?