Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,108
Habari za leo wanajamvi.
Katika kipindi hiki ambacho upendo umeshamiri sana, kumekuwa na vitendo vingi vya usaliti ktk mahusiano hasa ya kimapenzi.
Wanaume kwa wanawake wamekua wakisalitiana kutokana na sababu mbalimbali hasa tamaa ikiwa ni sababu mojawapo.
Je, kama umeshawahi kusalitiwa ilikuwa ni ktk mazingira gani na ulichukua hatua gani?