Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
7,006
Reaction score
15,486
Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata.

Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi.

Tukija upande wa pili wa huyu msichana mwingine. Ni wazi no mwanamke ambaye nimekuwa nae kabla hata ya mke wangu. Tunaishi nae nchi nyingine Sabab ya kibiashara Ila yeye ni mwajiriwa. Kuna kipind tulipoteana kama miaka miwili akapata mwanaume wakafunga ndoa ya boman Ila haikudumu hata mwaka Ila walizaa nae.

Ni mwanamke ambaye Kwa ujumla anasifa zote zile ambazo mke Hana yeye Amazon na sifa nyingine Hana Ila mke anazo.

Kiujumla nae nadiriki kusema ananipenda kuliko kiwango maana kuna mambo tumepitia kikawaida Kwa madada wenzetu wasingeweza. Katengwa na familia yake Kwa ajili yangu pesa yote analeta kwangu.anajua nimeoa kabisa na kipind naoa alinichangia.

Ishu inakuja kila napotaka achana nae naumia mara tatu mpaka nashindwa Fanya KAZI zangu.nishajaribu kumkimbia mwaka lkn moyoni nilijikuta narudi tena.
Kila napokuwa nae mambo yangu yanaenda vyema na mara zote anasisitiza niwatumie wanangu pesa na kuna muda anatuma zake mwenyewe Kwa wife kupitia western union wife anajua hi mfanyakaz wa benk Tu namwachiaga.

Nimejaribu njia zote naona nashindwa, Zaid moyon natamani Tu nifungue nae ndoa nae ya boman Kwa Sabab ni nchi nyingine na asije gusa Tanzania ili kumuondoa kwenye lawama na ndugu zake.

Ukwell huyu mdada kanizoa kabisa . Naomba ushaur Kwa waliowahi kutana na hii mambo mlifanyaje
 
Imeandikwa wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu.

Hayo unayofanya ni machukizo mbele za Mungu na wanaadamu!

Mwombe Sana Mungu akutoe kwenye hiyo hali la sivyo utavuna adhabu yake muda si mrefu
 
Huyo mchepuko kama kweli unasifa hizo zote ulizosema kwanini aliolewa na kuachika kwa mumewe?

Amekwambia ikijuwaje hadi akaachika?
Hakuachika Bali mateso yalizidi ikabid babako atumie nguvu kumtoa. Mpaka sasa mwanaume hataki hata kusikia habar za mwanae
 
Watu kama nyie nikijua habari zako hivi halafu nikasikia kuwa mkeo yule wa ukweli nae ni mzinzi naonaga sawa maana mtu hupewa wa kufanana naye.

Ukiwa mtulivu na mwaminifu utapewa wa hivyo na ukiwa mzinzi na mwasherati unapewa wa hivyo.

Kwa hiyo ili upate umtakae inabidi ukae mkao wa tabia ile utakayo.
 
Imeandikwa wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu.

Hayo unayofanya ni machukizo mbele za Mungu na wanaadamu!

Mwombe Sana Mungu akutoe kwenye hiyo hali la sivyo utavuna adhabu yake muda si mrefu
Najua hayo yote. Lakin Mimi nimeeleza jinsi navotamani achia mwisho nashindwa. Nikija kibiblia vipi kuhusu mfalme Suleiman ambaye alikuwa nao karibia1000?
 
Ni unaota au ni uhalisia wako? Sasa huyo mkeo ulimuoa wanini kama umpendi ? Tulia na ndoa yako mkuu naweza kusema ulikimbilia ndoa bila kuwa tayari kuitumikia na kuilinda ndoa yako ndio maana unakiri kuzidiwa ujanja na uyo muasherati mwenzio, tulia na mama watoto wako Mungu kakubariki na huyo.. asubuhi njema
 
Ondoka hiyo nchi ya watu, rudi nyumbani ufanyie biashara zako huku ili uwe karibu na familia yako. Umbali ndo unasababisha mjikute mnaishi pamoja. Comr back home
 
Ni unaota au ni uhalisia wako? Sasa huyo mkeo ulimuoa wanini kama umpendi ? Tulia na ndoa yako mkuu naweza kusema ulikimbilia ndoa bila kuwa tayari kuitumikia na kuilinda ndoa yako ndio maana unakiri kuzidiwa ujanja na uyo muasherati mwenzio, tulia na mama watoto wako Mungu kakubariki na huyo.. asubuhi njema
Labda ulisemalo ni kweli inawezekana nilioa mapema lakin nimechozungumza nampenda mke na haipiti mwez hatujaonana na mara nyingi naenda home. Biashara mazingira ya tz magumu
 
Ni unaota au ni uhalisia wako? Sasa huyo mkeo ulimuoa wanini kama umpendi ? Tulia na ndoa yako mkuu naweza kusema ulikimbilia ndoa bila kuwa tayari kuitumikia na kuilinda ndoa yako ndio maana unakiri kuzidiwa ujanja na uyo muasherati mwenzio, tulia na mama watoto wako Mungu kakubariki na huyo.. asubuhi njema
Sioti kiukwel ,sikuwahi fikiria yangenikuta Ila ukwell ndo huo.
 
Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata. Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi.
Tukija upande wa pili wa huyu msichana mwingine. Ni wazi no mwanamke ambaye nimekuwa nae kabla hata ya mke wangu. Tunaishi nae nchi nyingine Sabab ya kibiashara Ila yeye ni mwajiriwa. Kuna kipind tulipoteana kama miaka miwili akapata mwanaume wakafunga ndoa ya boman Ila haikudumu hata mwaka Ila walizaa nae. Ni mwanamke ambaye Kwa ujumla anasifa zote zile ambazo mke Hana yeye Amazon na sifa nyingine Hana Ila mke anazo.
Kiujumla nae nadiriki kusema ananipenda kuliko kiwango maana kuna mambo tumepitia kikawaida Kwa madada wenzetu wasingeweza. Katengwa na familia yake Kwa ajili yangu pesa yote analeta kwangu.anajua nimeoa kabisa na kipind naoa alinichangia.
Ishu inakuja kila napotaka achana nae naumia mara tatu mpaka nashindwa Fanya KAZI zangu.nishajaribu kumkimbia mwaka lkn moyoni nilijikuta narudi tena.
Kila napokuwa nae mambo yangu yanaenda vyema na mara zote anasisitiza niwatumie wanangu pesa na kuna muda anatuma zake mwenyewe Kwa wife kupitia western union wife anajua hi mfanyakaz wa benk Tu namwachiaga.
Nimejaribu njia zote naona nashindwa, Zaid moyon natamani Tu nifungue nae ndoa nae ya boman Kwa Sabab ni nchi nyingine na asije gusa Tanzania ili kumuondoa kwenye lawama na ndugu zake. Ukwell huyu mdada kanizoa kabisa . Naomba ushaur Kwa waliowahi kutana na hii mambo mlifanyaje
Mkuu una dhida km yangu mi 10 yrs nina mtoto mmoja tu. Ila kila nikitafta wanawake napata ambao ni tegemezi kwangu, pia ni waschana wadogo 18-22yrs huwa nachukia ila age hii nawapenda coz huwa hawafek love. Ila wapigaji balaa, sipendi wanawake watu wazima 30+
 
Najua hayo yote. Lakin Mimi nimeeleza jinsi navotamani achia mwisho nashindwa. Nikija kibiblia vipi kuhusu mfalme Suleiman ambaye alikuwa nao karibia1000?

Yale yalikuwa makosa, na yameandikwa ili kutufundisha kuyaepuka hayo!
Halafu ilikuwa agano la kale!

Yesu alipokuja ameweka wazi kila kitu, akasema mke mmoja mume mmoja nao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja!
 
Mkuu una dhida km yangu mi 10 yrs nina mtoto mmoja tu. Ila kila nikitafta wanawake napata ambao ni tegemezi kwangu, pia ni waschana wadogo 18-22yrs huwa nachukia ila age hii nawapenda coz huwa hawafek love. Ila wapigaji balaa, sipendi wanawake watu wazima 30+
Asante Kwa kunielewa Mimi huyu nimekuwa nae jumla inafika miaka Tisa. Tulianza bado wako Tanzania. Kwangu sio mpigaji Ila ndo ananipambania. Lair ningekuwa muislam zaman nishabeba
 
Yale yalikuwa makosa, na yameandikwa ili kutufundisha kuyaepuka hayo!
Halafu ilikuwa agano la kale!

Yesu alipokuja ameweka wazi kila kitu, akasema mke mmoja mume mmoja nao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja!
Nakuelewa lakin logically SASA hivi ni uongo. Wendi wanacheat ni heri Tu ikawa ruksa kama waislam
 
Back
Top Bottom