Mgundue mkeo kupitia mwanae wa kwanza

jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
500
821
Siku zote wahenga wanaendeleza kusisitiza 'dalili ya mvua ni mawingu" Kwenye suala la ndoa, kigezo moja wapo ambacho mwanamke anatakiwa awenacho ni UVUMILIVU

Mchunguze kupitia hii kitu
-mwanamke anapofanikiwa kupata mtoto wa kwanza

1. Mchunguze namna gani anamjali mtoto
-kutojali hisia za mtoto ( unakuta mtoto analia, yee yupo tu anafanya mambo yake
-hawezi kubembeleza mtoto(yaaani yale majonjo ya kubembeleza kwa moyo wa ukarimu na huruma hakuna )
-Upenda sana kumkaripia mtoto mfano, yaani wewe unapenda kujiliza Liza (kumbuka hapo hajamtaja kwa jina lake)
-utanguliza neno WE- wakati wa kuita jina la mtoto mfano, we-saidi, we-agnesi, we-jovin, we-mwajuma au we-baraka
-kutozingatia usafi na kumstiri mtoto
Hapa unakuta katoto kamekojoa au kajisaidia muda ila mama yake hajui chochote kumuhusu (yuko bize na mambo mengine)
-hana utashi wa kumfundisha mtoto mambo mapya , mfano kuita mama au baba, chai, uji, by, shikamoo, n.k

Ukiona una mwanamke dizaini hii jiandae kupata sifuri kwenye tabia na mienendo ya wanao
 
siku zote wahenga wanaendeleza kusisitiza 'dalili ya mvua ni mawingu"

Kwenye suala la ndoa, kigezo moja wapo ambacho mwanamke anatakiwa awenacho ni UVUMILIVU

Mchunguze kupitia hii kitu
-mwanamke anapofanikiwa kupata mtoto wa kwanza

1.mchunguze namna gani anamjali mtoto
-kutojali hisia za mtoto ( unakuta mtoto analia, yee yupo tu anafanya mambo yake
-hawezi kubembeleza mtoto(yaaani yale majonjo ya kubembeleza kwa moyo wa ukarimu na huruma hakuna )
-Upenda sana kumkaripia mtoto mfano, yaani wewe unapenda kujiliza Liza (kumbuka hapo hajamtaja kwa jina lake)
-utanguliza neno WE- wakati wa kuita jina la mtoto mfano, we-saidi, we-agnesi, we-jovin, we-mwajuma au we-baraka
-kutozingatia usafi na kumstiri mtoto
Hapa unakuta katoto kamekojoa au kajisaidia muda ila mama yake hajui chochote kumuhusu (yuko bize na mambo mengine)
-hana utashi wa kumfundisha mtoto mambo mapya , mfano kuita mama au baba, chai, uji, by, shikamoo, n.k

*ukiona una mwanamke dizaini hii jiandae kupata sifuri kwenye tabia na mienendo ya wanao

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wa kwangu nimpige chini?
 
Madhumuni hasa ya huu Uzi wako ni nini?mfano mi binafsi mjamzito wa mtoto wa kwanza kwahiyo mtoto kama amelala akakojoa najua Kwa dalili gani? Si Hadi ambae alishatangulia uzazi awepo aniambie mfano mzuri dadangu alioojifungua mtoto wake wa kwanza mtoto akilia anampa ziwa anambembeleza lakin bado Hadi akawa ye mwenyewe analia mama ndy anafanya kumwambia tumbo linamsumbua au anamkojo au ananjaa au usimpe ziwa we umeandika sijui Kwa kumaanisha nini
 
bado huu utetezi wako hauna MAANA hili ni suala la nature,ndio maana mtoa mada ameelezea ili ujue kizazi utakachopata kitakuwa cha namna gan kupitia huyo mwanamke
 
Siku zote wahenga wanaendeleza kusisitiza 'dalili ya mvua ni mawingu" Kwenye suala la ndoa, kigezo moja wapo ambacho mwanamke anatakiwa awenacho ni UVUMILIVU

Mchunguze kupitia hii kitu
-mwanamke anapofanikiwa kupata mtoto wa kwanza

1. Mchunguze namna gani anamjali mtoto
-kutojali hisia za mtoto ( unakuta mtoto analia, yee yupo tu anafanya mambo yake
-hawezi kubembeleza mtoto(yaaani yale majonjo ya kubembeleza kwa moyo wa ukarimu na huruma hakuna )
-Upenda sana kumkaripia mtoto mfano, yaani wewe unapenda kujiliza Liza (kumbuka hapo hajamtaja kwa jina lake)
-utanguliza neno WE- wakati wa kuita jina la mtoto mfano, we-saidi, we-agnesi, we-jovin, we-mwajuma au we-baraka
-kutozingatia usafi na kumstiri mtoto
Hapa unakuta katoto kamekojoa au kajisaidia muda ila mama yake hajui chochote kumuhusu (yuko bize na mambo mengine)
-hana utashi wa kumfundisha mtoto mambo mapya , mfano kuita mama au baba, chai, uji, by, shikamoo, n.k

Ukiona una mwanamke dizaini hii jiandae kupata sifuri kwenye tabia na mienendo ya wanao
Wanawake wengi wa maccm wapo hivyo
 
Na tuliooa wanawake wenye watoto tutatambuaje hili
 
Malezi ya mtoto ni yenu wote.
 
Hamna point hapo ni vitu vidogo sana ulivyoviongelea kwamfano mama anaweza kuwa na tabia yake ya uchafu lakini ana mapenzi makubwa tu ,watu wengine tu ndo watasema kuwa hamjali mtoto anyway ni mtazamo wako tu huo
 
Madhumuni hasa ya huu Uzi wako ni nini?mfano mi binafsi mjamzito wa mtoto wa kwanza kwahiyo mtoto kama amelala akakojoa najua Kwa dalili gani? Si Hadi ambae alishatangulia uzazi awepo aniambie mfano mzuri dadangu alioojifungua mtoto wake wa kwanza mtoto akilia anampa ziwa anambembeleza lakin bado Hadi akawa ye mwenyewe analia mama ndy anafanya kumwambia tumbo linamsumbua au anamkojo au ananjaa au usimpe ziwa we umeandika sijui Kwa kumaanisha nini
Mbona kaelezea vizuri tu, msome kwa umakini
 
Mara nyingi first born huwa wanapendwa sana mpaka pale atakapokuja wa pili...

Mwanamke wa namna hiyo hulka yake ni uvivu na roho mbaya...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom