Kama huna kitu hupati mtu mwenye kitu

Kama huna kitu hupati mtu mwenye kitu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Sio wanawake sio wanaume
Wanawake wanataka wanaume wenye mafanikio sio mafanikio actually Ni material things nyumba,magari ,kazi nzuri or biashara etc
Wanaume nao wamekuwa hao hao wakiona mwanamke uchumi wake unachanua shobo Kama zote. Si kila mtu atafute utajiri wake wakuu??
 
Mara nyingi wanawake wanatafuta wanaume wa MAANA ,neno MAANA kwa wanawake maana yake MWENYE HELA.

Ila wanaume walio wengi wanatafuta mwanamke ALIYETULIA (hana mambo mengi,si malaya ,ana heshima).

Hao wanao watafuta wanawake wenye hela ni Mario.
 
Sasa mwanaume ambaye hana kitu wa nini huyo? Yaani kisa ana uume tu? Mbona hata dukani unapatikana?
 
Labda wanaume wa dar ndo wanatafuta wanawake wenye mali[emoji23][emoji23][emoji23]. Sisi wa mikoani tunatafuta wanawake wenye upendo tuuu
 
Back
Top Bottom