Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,061
2,000
Jukwaa limelala natapatapa sioni raia humu! Najua shida internet lakini si Kuna VPN! Au mnatumia mi IOS..πŸ˜‚

Hii inanikwaza kuwakosa usingizi haupiti, sioni hata raha ya mtandao bila nyinyi! Kama ni kuniweza basi hapa wameniweza! Najua hamuwezi kuwa bize na upigaji kura..

Jitahidini mrudi hali mahututi wabunge wa mahaba tutakufa siku si zetu..πŸ˜‚
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,061
2,000
Wapo insta
Inadhohofisha kila ukienda huku siasa tu inachosha tena inachosha zaidi pale wanatangaza majimbo mengi yamechuiuliwa na kijani tu!..
Siasa inachosha kwangu ila sio mahaba..πŸ˜‚

Mkuu Waite waambie kinyeramumo wao huku nateseka..
 

Sammy1961

Senior Member
Dec 23, 2019
112
225
Warembo wengi wanateseka na mfumo wa sasa ma mtandao nazani watakuwa wanajifunza mana hali ya mtandao hii itakaa katika kipindi fulani cha muda
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,061
2,000
Warembo wengi wanateseka na mfumo wa sasa ma mtandao nazani watakuwa wanajifunza mana hali ya mtandao hii itakaa katika kipindi fulani cha muda
Mkuu hii hali yatisha toka juzi napita humu ni holaa tu! Mpk kichwa kimeanza niuma kwa kuwakosa hao viumbe!.. huo uchaguzi wao unatukosti wengi ktk namna tofautitofauti..πŸ˜‚
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom