Mwanadada upo tayari kuwa na mwanaume mwenye uchumi na elimu duni?

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Anakufuata mwanaume hana background nzuri ya kiuchumi na elimu yenyewe ndio hivo tena, kakufuata ili muanze maisha ya mume na mke na anataka uanze naye from zero ili mfikie malengo yenu mkiwa pamoja.

Je, mwanadada utakuwa tayari kukubali proposal ya mwanaume wa design hii?

Kama ndiyo kwanini na kama hapana kwanini.

Karibuni!
 
Mh!, swali zuri lakini gumu!

I think inaweza kuwa vyote, unaweza kupenda tu unapotaka na unaweza pia kuamua kupenda..
Mara nyingi tunapenda kwa mwongozo wa prio-criteria za kupenda tunazokuwa tumejiwekea kabla ya kukutana na tunaowapenda.

Aidha mimi nataka mwanamke mrefu, mfupi au bonge.

kwako naona tayari unazo, ndiyo maana ukasema akikosa hivyo basi upstairs awe vizuri.

Then, how mtu asiye na background au lolote awe vizuri upstairs.. hizo upstairs atakuwa anazifanyia nini
 
Haha, ni Ukweli Daby. Hii kujiwekea criteria especially, halafu unaweza kutana na mtu yuko vizuri maeneo mengine lakini bado usimpende kwa sababu tu anapungua kitu fulani, ambapo si vizuri.

Lakini mtu anaweza kuwa hana background nzuri na akawa vizuri upstairs and the vise versa.
Kuwa vizuri Upstairs naona kutakuwa na matokeo bora kutegemea na mtu atakavyotumia zilizopo Upstairs cos kuna wenye nazo na bado wakachemka kimaisha.
So again, it depends..
 
Back
Top Bottom