Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo wakuu? Nimepita bar flani na wife kusuuza koo ameona kuna baadhi ya bar maids flani wa kike wamenizoea sana kwenye hiyo bar,ghafla akanishauri nipunguze mazoea nao. Atakuwa ana maana gan...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Natumain nyote hamjambo! Nilikuwa ofsini asubuhi saa mbili ile tulikuwa tunapiga story na wafanyakazi wenzangu kama wawili wa kike na sisi me tupo wawili. Tulikuwa tunapiga story za hapa na pale...
7 Reactions
106 Replies
12K Views
Habari wanandugu, Hili swala limekithiri kwa sasa mpaka najiuliza shida ni nini hasa yaani unakuta mtu anakufata with confidence kabisa through social media like "habari tunaweza kufanya one...
12 Reactions
64 Replies
7K Views
Mwanzo... Sauti zilikuwa zinezagaa kwenye hiki chumba ambacho kilipambwa na kitanda chenye hadhi ya juu. Kilikuwa chumba kilichokuwa kimepambwa kwa nakshi tofauti tofauti.. Kweli kilikuwa chumba...
13 Reactions
160 Replies
187K Views
Mimi nimemsevu kwa jina la Dalali Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana.. Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
  • Closed
Nilikuta post mtandaoni, kwenye page moja ya mdada maarufu wa kuchamba kama dada Mange Kimambi. Sasa nikashtushwa sana kuona amemuhusisha huyu dada ambaye alishawahi kuwa Miss Tanzania na...
2 Reactions
40 Replies
12K Views
Habari za jumatatu ya mwisho wa mwezi wana JF. Pole na pilika pilika za jumamosi na juamapili. Nisiwachoshe sana wana jf. Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote kuanzi miaka 20 na...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Tumezoea kuzungumzia madhaifu ya wenzetu mara kwa mara tunapozama katika majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii. Leo napenda kuanza wiki yangu Kwa kumsifu mpenzi wangu EMY kwa kunivumilia...
8 Reactions
166 Replies
25K Views
Ndugu habarini! Huu mwaka umekuwa nzuri kwangu kwenye baadhi ya masuala ila ndio mwaka ambao nimekuwa na case nyingi za uchepukaji. Nilikuwa na mademu zaidi ya wanne ambao nilikukuwa nawala...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za jmosi wadau wa MMU, bila shaka mko poa, kwa wenye changamoto poleni sana. IKIWA KUNA WATU WANATAFUTA WENZA WANAO JIELEWA KWA HUYU IKO HIVI! Utashika mdomo nakwambia, sikia mwana jf...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Ni siku ya tatu leo. Nipo hoi kitandani Natweta sijitambui. HAKIKA mwanamke ameniponya.🦚 2. Tumbo limenitesa, Tumbo limekatakata Nimekwenda NENDA nenda rudi, mbio bila mshindani.🏃🏾‍♂️ 3...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kwenda moja kwa moja katika mada. Nipo kwenye mahusiano yang yapata miaka miwili kwa sasa, kwa bahati mbaya au nzuri kipindi tunaanza mahusiano na huyu mtu wang ndio muda huo ambapo...
10 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari Leo nimeona niseme hii kitu mara nyingi kwenye mahusiano tuna mitazamo tofauti mwingine upendo kwake mpaka apewe attention, mwingine pesa nk Lakini binafsi yangu naona upendo nikupenda...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu nimepata feedback nzuri kutokana na ombi langu la kutaka mume wa kuishi nae ila naombeni mnisaidie ushauri kidogo watu ni wengi niwasiliane na yupi? nifanyeje nisije nikachagua...
2 Reactions
302 Replies
21K Views
Stori: Waandishi Wetu, Dar es Salaam na Mwanza MAPENZI ni sanaa tata sana, inawaumiza wengi, inavunja mioyo ya watu, inakatisha tamaa ya maisha, inaleta umaskini, inasababisha mauaji lakini siyo...
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Licha ya kuwa tunapendana sana na huyu mpenzi wangu kuna siku moja moja huwa tunakorofishana na mara zote mimi huwa ndio chanzo cha ugonvi kwa sababu ya kufumania sms mbali mbali za wanawake...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
sisi wanaume ni kama wadudu waitwao kumbikumbi. kumbikumbi kihasili makazi yao ni kwenye mashimo ndani ya vichuguu. licha ya kuwa ndani ya mashimo kwenye vichuguu kuna giza kubwa na mwanga hafifu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Naam wakuu muda mwingine hujikuta umeingia ktk kumhudumia/kumgharamia msichana/binti/mwanamke pasipo kujua ulianzaje. Lengo ni kujuzana km kuna makosa ambayo tunayaingia na changamoto zake na...
4 Reactions
177 Replies
16K Views
Wakubwa habari zenu? Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti. Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya...
35 Reactions
112 Replies
10K Views
Yan ni hivi... Dunia hii ina kaz snaa kuishi. Mtu anaweza asikufaham or vyovyote vile kuhusu wew lakin anaweza kukuchukia tu jins ulivyo yaani Hili ni kwa marafik.ndugu watu wa pemben wa karib...
10 Reactions
16 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…