Napenda kwenda moja kwa moja katika mada. Nipo kwenye mahusiano yang yapata miaka miwili kwa sasa, kwa bahati mbaya au nzuri kipindi tunaanza mahusiano na huyu mtu wang ndio muda huo ambapo nilipata transfer ya kwenda masomoni hivyo mahusiano yetu yamekuwa ya kipindi cha likizo zaidi.
Nakili nimewahi kupenda jamani lakini sijawahi kumpenda mtu kama ninavyompenda mchumba wangu huyu. Maisha yetu yamekuwa ya amani sana mpaka ikafika kipindi nikaona vyema tuunganishe vyombo ili kupunguza ukali wa gharama kulipia nyumba niliyopanga wakati siishi kwa kipindi hichi ambacho niko masomoni.
Tukafanikiwa kuunganisha vyombo pamoja.kwa mwaka mzima tulikuwa na furaha na amani sana katika mahusiano yetu. Siku moja wakati nipo likizo alichukua simu yangu na kuanza kuifanyia ukaguzi bila mm kujua. Kwa bahati mbaya kuna binti ambae sikua katika mahusiano nae lakin nilikuwa namtongoza. Akaichukua namba na kuanza mawasiliano na yule binti bila mm kujua.
Mwisho yule binti akanichomea kuwa nina mahusiano nae wakati halikua jambo la kweli.baada ya kugundua hilo Nilijitahidi sana kutumia nguvu kubwa mno kumwomba msamaha akanielewa lakini kwa shida sana. Tangu hapo maisha yetu ya mahusiano yakawa ni kama ya kuigiziana. Akitenda kosa nikimuonya anakuwa mkali ule upendo nauona kabisa haupo lakini mm ndiye ninayelazimisha upendo.
Nimekuwa nikimfanyia vitu vya kumuweka karibu lakini naona kwa upande wake ni kama ule upendo wa awali haupo kabisa bali analazimisha tu.kuna kipindi natamani niachane nae lakin nafsi yangu kumpoteza haiko tayari kabisa najipa moyo huenda baada ya mm kumaliza masomo na tukiwa karibu atabadilika. Mwezi uliopita kabla sijaanza maandalizi ya kurudi chuo kumalizia masomo yangu kwa mwaka wa mwisho Alichukua simu yangu kama kawaida na kuangalia namba zilizokuwa na mawasiliano na mm zaidi.
Akachukua namba ambazo ni za wanafunzi wenzangu ambao sikua na mahusiano nao lkn tulikua tuna mawasiliano ya karibu. Wengi wao waliponijulisha juu ya kutafutwa kwao na mchumba wangu sikujisikia vizuri sana ikabidi nimuulize juu ya alichokifanya kwa bahati mbaya akawa mkali hanisikilizi na hata heshima ile ya mwanzo inapungua kwa kiwango kikubwa sana na sasa sio kupungua tu ila inaporomoka sana.
Nimefanikiwa kuondoka na kurudi masomoni mawasiliano yetu yakiwa sio mazuri sana na wiki moja tu baada ya kuanza masomo nikapata ujumbe kutoka kwake kwamba kwa sasa ule upendo na mm hana kabisa anajiona yupoyupo tu na kama nina uwezo nitafute mwanamke mwingine. Hii kauli imenifanya nime shake kwa kiwango kikubwa sana.
Kuna muda najipa ujasiri nikubaliane nae lakin nawaza nimpe muda labda ni hasira na amani yetu itarudi. Kuna muda pia nawaza niondoe vyombo vyangu hata nihifadhi kwa watu baki lakin bado napata kigugumizi juu ya hilo. Naomba ushauri wenu wa mawazo marafiki zangu wazuri ni kipi cha maana naweza nikakifanya kwa sasa huu mwaka wa mwisho niliobakiza wa masomo? Mungu awabariki sana