Nashukuru nimeweza kuacha uzinzi kwa njia ambayo sikuitarajia

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,124
Ndugu habarini!

Huu mwaka umekuwa nzuri kwangu kwenye baadhi ya masuala ila ndio mwaka ambao nimekuwa na case nyingi za uchepukaji.

Nilikuwa na mademu zaidi ya wanne ambao nilikukuwa nawala.
Sikuipenda tabia hii ya uzinzi, na miezi 2 iliyopita niliumwa Typhoid nilipokwenda kituo cha afya Doctor akanisihi nipime UKIMWI. Nikawa negative (sina ngoma).

Wife ni mwanamaombi nzuri tu. Jinsi alivyonidaka na michepuko unajua kabisa kuwa Mungu wake kamsaidia.
Kila nikitaka kuacha nashindwa, wakinipigia naweka miadi then tuna do.

Juzi nimeibiwa simu. Sasa michepuko hainipati hewani nami sina mpango nao, namba zao ninazo kwakuwa nilisave google. Nitadelete one to one leo.

Biashara ya uzinzi kwisha habari yake.Sitarenew zile line za simu .
Sisi walinzi tuna utatu mtakatifu ambao tunauita WWW.
Wine
Women &
War.
Sasa mimi nabaki na umoja mtakatifu pekee ambao ni WAR.
 
Ndugu habarini!

Huu mwaka umekuwa nzuri kwangu kwenye baadhi ya masuala ila ndio mwaka ambao nimekuwa na case nyingi za uchepukaji.

Nilikuwa na mademu zaidi ya wanne ambao nilikukuwa nawala.
Sikuipenda tabia hii ya uzinzi, na miezi 2 iliyopita niliumwa Typhoid nilipokwenda kituo cha afya Doctor akanisihi nipime UKIMWI. Nikawa negative (sina ngoma).

Wife ni mwanamaombi nzuri tu. Jinsi alivyonidaka na michepuko unajua kabisa kuwa Mungu wake kamsaidia.
Kila nikitaka kuacha nashindwa, wakinipigia naweka miadi then tuna do.

Juzi nimeibiwa simu. Sasa michepuko hainipati hewani nami sina mpango nao, namba zao ninazo kwakuwa nilisave google. Nitadelete one to one leo.

Biashara ya uzinzi kwisha habari yake.Sitarenew zile line za simu .
Ila hapo hujaeleza vizuri...

"Nilikuwa na mademu zaidi ya wanne ambao nilikukuwa nawala."

Ulikuwa unawalaje?
Kiboga?
Umevaa soksi?
Kavu?

Walikuwa wauza kiboga?
 
Sio kiboga sheikh wangu.
Wewe wawaza tigo tu.
Niliwala kavukavu kasoro mmoja tu ambaye ana ngoma huyo ndiye alikuwa hataki nimle bila kondomu
 
Back
Top Bottom