Je nimefanya kosa kumpiga huyu mpenzi wangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Licha ya kuwa tunapendana sana na huyu mpenzi wangu kuna siku moja moja huwa tunakorofishana na mara zote mimi huwa ndio chanzo cha ugonvi kwa sababu ya kufumania sms mbali mbali za wanawake wengine kwenye simu yangu,

Kwa kuwa niliona tunagombana almost kila mara na kosa huwa ni moja tu niliamua kumpiga marufuku kushika shika simu yangu bila sababu ili tu tuishi kwa amani,

Sasa jana nilikuwa nae mchana wakati natoka naenda kuoga akachukua simu na kuanza kuperuzi akakutana na sms kibao za mademu niliotoka kuwatindua wakisifia utendaji kazi uliotukuka wa dushe langu,

Wakati natoka bafuni sina ili wala lile nakutana na mtu amefura, analia huku anatoa maneno kibao ya kunilaumu kisha akanionyesha zile text,kwa hasira akataka kusepa gheto

Sasa kwa kuwa mimi nilishamzuia kushika shika simu yangu bila sababu ya msingi nilimpatia moto nikamvuta kitandani huku analia, nikampa Romance kaipokea, touch kila sehemu mwisho nikampa penzi moja matata,

Toka hapo nikamuachia mazaga apike msosi wa gheto nikaenda mjini kimya kimya nikanunua pande moja ya kikoi plus dozen mbili za chupi nikarudi nazo gheto kama suprise nikampiga nazo,

Alifurahi sana akaruka na kunikumbutia then nikamkiss na kumwambia nakupenda sana mpenzi wangu, malkia wa Moyo wangu,"Akanikisi mwaaaaa Zero IQ wangu", Nuru ikarudi machoni pake na kusahau ata kile kilichotokea dakika chache zilizopita.

CC Zero IQ
 
halafu ww na chai yako kama nakuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahahha Aise jamaa ana chai mingi alaf zote za mademu tuu sijui lini atajenga kiwanda.......ila sio mbaya kwa hii hali ya Sasa iv tunahutaji watu kama Hawa kutupunguzia stress.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kuwa tunapendana sana na huyu mpenzi wangu kuna siku moja moja huwa tunakorofishana na mara zote mimi huwa ndio chanzo cha ugonvi kwa sababu ya kufumania sms mbali mbali za wanawake wengine kwenye simu yangu,

Kwa kuwa niliona tunagombana almost kila mara na kosa huwa ni moja tu niliamua kumpiga marufuku kushika shika simu yangu bila sababu ili tu tuishi kwa amani,

Sasa jana nilikuwa nae mchana wakati natoka naenda kuoga akachukua simu na kuanza kuperuzi akakutana na sms kibao za mademu niliotoka kuwatindua wakisifia utendaji kazi uliotukuka wa dushe langu,

Wakati natoka bafuni sina ili wala lile nakutana na mtu amefura, analia huku anatoa maneno kibao ya kunilaumu kisha akanionyesha zile text,kwa hasira akataka kusepa gheto

Sasa kwa kuwa mimi nilishamzuia kushika shika simu yangu bila sababu ya msingi nilimpatia moto nikamvuta kitandani huku analia, nikampa Romance kaipokea, touch kila sehemu mwisho nikampa penzi moja matata,

Toka hapo nikamuachia mazaga apike msosi wa gheto nikaenda mjini kimya kimya nikanunua pande moja ya kikoi plus dozen mbili za chupi nikarudi nazo gheto kama suprise nikampiga nazo,

Alifurahi sana akaruka na kunikumbutia then nikamkiss na kumwambia nakupenda sana mpenzi wangu, malkia wa Moyo wangu,"Akanikisi mwaaaaa Zero IQ wangu", Nuru ikarudi machoni pake na kusahau ata kile kilichotokea dakika chache zilizopita.

CC Zero IQ

Haka kanyuzi kametoholewa humu hapa

Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na Uume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaha

Toa maelezo mafupi kuhusu utohoaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wakuu mkumbuke ni sikukuu ya mazero Intelligent quotients so be carefully with this tasteless tea

Sent using
My left Thumb
 
Back
Top Bottom