Naombeni ushauri wa jinsi ya kuchagua mpenzi mtandaoni

mama mtarajiwa

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
290
449
Namshukuru Mungu nimepata feedback nzuri kutokana na ombi langu la kutaka mume wa kuishi nae
ila naombeni mnisaidie ushauri kidogo watu ni wengi niwasiliane na yupi? nifanyeje nisije nikachagua mbaya nikaacha mzuri ? watu ni wengi ila mpaka sasa sijampigia hata mmoja ninaogopa sana
 
ndo maana unakosa wanaume sababu ya ujeuri na ubabe
halafu kwenye bio yako umesisitiza kabisa eti uko very humble
halafu ni ushauri wa aina gani unataka wakati namba ushatumiwa kibao PM
halafu nakukumbusha tu hilo jukwaa halihusishi mambo ya mapenzi
CHAOOOOOO
 
Back
Top Bottom