Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Tumezoea kuzungumzia madhaifu ya wenzetu mara kwa mara tunapozama katika majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.

Leo napenda kuanza wiki yangu Kwa kumsifu mpenzi wangu EMY kwa kunivumilia kasumba zangu nyingi. Kwakweli amevumilia matukio mengi sana kwa kutamka wazi kuwa ananipenda. Napenda kutambua upendo wake na uvumilivu wake.

Msifu mpenzi wako walau kwa neno moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom