Mwanamke anayekupenda hawezi kukupiga virungu

Soyuncu

Senior Member
Nov 20, 2019
193
223
1. Baby nina shida na elfu 50
2. Mpenzi kodi yangu inaisha
3. Honey gas yangu itakata muda si mrefu
4. Mume simu yangu kioo kinasumbua
5. My mama anaumwa! Nahitaji nauli kwenda kumuona
6. Luv bando langu linaisha..
7. Husband nataka nikaoshe nywele salon
8.
9.
10.

Najua wengi wetu tushawai kukutana na visanga kama ivo. Ila mimi shuhuda na naendelea kushuhudia mwanamke anaekupenda. Hawez kukupiga virungu eeeh ngumu Mno

Sema tu siku moja moja mwanaume unajiongeza kidgo tu. Unapompa pesa mwanamke wengine wanafikilia tofaut kwamba unalinganisha pesa na yeye..

Nawasilisha
 
Mimi mwanamke wangu nimemchukulia nyumbani kwao kwa baba na Mama yake.
Kabla ya hapo huduma zote alikua akipata kutoka katika familia yake yaani wazazi wake.
Jukumu langu kubwa ilikua ni kulipa mahari na gharama za sherehe ya ndoa.
 
Pongezi sana kwa kulitambua hilo...Mtu anayekupenda hawezi kuwa chanzo cha kero kwako
Sure thing not only kwenye mahusiano ya kimapenzi, you might agree with me somehow ndugu na marafiki wa pembeni ndio wanaongoza kwa kuomba hela kuliko hata ndugu wa damu (wale manaoshare wazazi) this reflect ndugu wa damu hawapendi kukukera maana ile true love imo ndani yao.

xxx not all the time though.
 
Sure thing not only kwenye mahusiano ya kimapenzi,you might agree with me somehow ndugu na marafiki wa pembeni ndio wanaongoza kwa kuomba hela kuliko hata ndugu wa damu (wale manaoshare wazazi) this reflect ndugu wa damu hawapendi kukukera maana ile true love imo ndani yao.

xxx not all the time though.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Exactly
 
8. Baby nahitaji milioni 2 nadaiwa vikoba nikipata nitakurudishia
9. Baby mbona umebadilika siku hizi, hatutoki kama zamani....kuna mnuso mpya hapa mjini kiingilio 50,000 nataka twende na shosti wangu
10. Baby, mie kwetu nina kiwanja.....naomba unijengee. Nitakupa kila kitu ukitakacho.
 
sio poa
8. Baby nahitaji milioni 2 nadaiwa vikoba nikipata nitakurudishia
9. Baby mbona umebadilika siku hizi, hatutoki kama zamani....kuna mnuso mpya hapa mjini kiingilio 50,000 nataka twende na shosti wangu
10. Baby, mie kwetu nina kiwanja.....naomba unijengee. Nitakupa kila kitu ukitakacho.
 
Welcome to redpill society.

Ufafanuzi

BETA MALE

Kwanza Beta ni neno la kilatin lenye maana ya badae au ni kitu kinachofuata baada ya ile iliyo imara kwa maana nyingine beta ni " dhaifu"

Beta male ni Nani?

Beta male ni mwanaume dhaifu katika nyanja mbali mbali za kijamii uhusani kwenye upande wa mahusiano. Zifuatazo ni sifa za beta male

-Beta male ni mwanaume asiweza kusema "NO" kwa chochote kile anachoambiwa na mwanamke akiamini kwamba ndio ustaharabu au ugentleman.

-Beta male ni mwanaume ambaye Yuko tayari kufanya Jambo kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke hata kama litamgharimu yeye kiafya au kiuchumi yeye anachoangalia ni mwanamke kufurahi.

-Beta male ni mwanaume ambaye yuko tayari kuwapuuza wazazi au jamaa zake wa karibu ambao ndio wana uchungu na yeye na kufuata matakwa ya mwanamke wake aliyekutukana nae ukubwani.

-Beta male ni mwanaume anaempa thamani kubwa sana mwanamke kuliko inavyopaswa na kuishusha jinsia yake, mara nyingi huwa yuko tayari kumuangamiza mwanaume mwenzake kwaajili tu ya maslahi ya mwanamke.

-Beta male ni mwanaume asielewa chochote kuhusiana na women manipulation.

-Beta male ni mwanaume anayeona fahari kudate/kuoa mwanamke ambaye tayari ameshakuwa damaged akiamini eti ni mkomavu wa kifikra hapa unakuta anaoa single mother, kahaba mstaafu n.k

-Beta male ni mwanaume ambaye anawekeza kwa mwanamke kabla ya kuwekeza kwake mwenyewe, hapa unakuta anamsomesha au kumkopea mkopo wa biashara mwanamke ilihali yeye bado anaishi nyumba ya kupanga.

-Beta male ni mwanaume ambaye anafanya Jambo ili aonekane yeye ni "real man" kwa mwanamke, pasipo kufahamu hicho cheo huwa Wanapewa wanaume mabwege.

-Beta male ni mwanaume ambaye anaona dawa ya mwanamke mjeuri na msaliti basi ni kumuongezea upendo na kumtoa outings za gharama na akishindikana sana anamuachia nyumba na mali zote walizochuma kisha yeye anaenda kuanza maisha upya.

Beta male ni mwanaume anayetumia zaidi emotions kuliko logic kwenye mahusiano.

-Beta male ni mwanaume mtiifu kwa mwanamke na mara nyingi huwa Wana dharauliwa Sana na wanawake.

-Beta males ni wanaume wanaoongoza kulizwa lizwa ovyo na wanawake kwenye mahusiano.

NOTE: KUNDI HILI LA BETA MALES KWA JINA LINGINE WANAITWA "SIMPS" au " WHITE KNIGHTS"

ufafanuzi kuhusu ALPHA MALES

Alpha ni neno la kilatin lenye maana la inayoanza au iliyo na nguvu zaidi. Hivyo basi Alpha Male ni mwanaume imara anayeitambua na kuilinda nafasi yake hapa duniani.

Zifuatazo ni sifa za ALPHA MALE

-Alpha Male ni mwanaume anayejali maslahi yake Kwanza kabla ya kuangalia maslahi ya watu wengine.

-Alpha Male ni mwanaume anayeishi kwa kufuata principals zake alizojipangia mwenyewe pasipo kuangalia watu waliomzunguka wanamchukuliaje

-Alpha Male ni mwanaume ambaye akiamua kufanya Jambo kwa ajili ya maslahi ya wengine, Basi anafanya pasipo kupendelea jinsia yoyote ile yaani atahakikisha manufaa yake yanamlenga kila mtu.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye vision na siku zote anakimbizana na dreams zake.

-Alpha Male ni mwanaume asiyekuwa na muda wa kubembeleza mwanamke, siku zote yuko tayari kubwaga manyanga kwa mwanamke asiyeeleweka yaani hana muda wa ku-entertain dramas.

-Alpha Male ni mwanaume anayepeleka mambo yake kwa logic yakiwemo ya kimahusiano, yaani kabla hajafanya maamuzi anapima Kwanza faida na hasara zake.

-Alpha Male ni mwanaume anayeingia kwenye mahusiano/ndoa huku tayari akiwa na exit plan, hili mambo yakienda ndivyo sivyo anakuwa hana cha kupoteza

-Alpha Male ni mwanaume mwenye Kinga dhidi ya women manipulation na ni nadra kuingizwa mkenge na mwanamke.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye upendo wa Hali ya juu kwa mwanamke wake, lakini upendo huo unakufa Mara moja pale tu mwanamke huyo anapo msaliti.

-Alpha Male ni mwanaume anayeitambua majukumu yake kwa mwanamke kama mume, na hawezi kubeba jukumu la mume kwa mwanamke ambaye bado hajamuoa.

-Alpha Male ni mwanaume ambaye hayuko tayari kula makombo ya mwanaume mwenzake, mara nyingi akitaka kuoa anatafuta mwanamke bikra na hawezi kabisa kuoa single mother au mwanamke aliyekwisha tumika Sana.

-Alpha Male ni mwanaume asiyejilinganisha hata kidogo na mwanamke, yaani yeye siku zote ana dominant traits na anazionesha pale inapobidi.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye high level of masculinity and he uses it for better purposes.

-Alpha Male ni mwanaume asiyejali kabisa kuonekana yeye ni misogynist kwa maamuzi na mitazamo aliyonayo mathalani yeye anaiona ni sahihi.

-Alpha Male ni mwanaume anafanya juu chini kabla hajaondoka kwenye hii duniani aache legacy.

NOTE: ALPHA MALE NDIO MWANAUME AMBAYE KILA MWANAMKE ANA DREAM YA KUOLEWA NAYE KWA BAHATI MBAYA WAKO WACHACHE SANA KWENYE DUNIA YETU YA LEO.
 
Back
Top Bottom