Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Wakuu mambo vipi?

Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado anafanyia kazi campun kubwa sana hapa DSM.

Walianza mapenzi toka august mapenz yakawa moto, mama amedata kwa jamaaa, hapo mama alisema hana mme ila anawatoto 3. Jamaa angu nae alikuwa amekolea tayr kwa penzi la mama hakutaka kumchunguza san huyu mama, japo nilimsisitiza sana awe makini na pia sikutaka kuingilia mambo ya watu.

October mama akamnunulia jamaa ndinga NISSAN DUALIS kali kabisa, jamaa akawa anaenda kwa mama analala na mama sometime anaenda lala kwa jamaa, siku jamaa aloshtuka alikua kwa mama kama kawaida usiku akasikia gate linafunguliwa akaingia mzee mzma wa makamo akasalimia akaunga chumbani, jamaa anasema alipigwa na butwaa alihisi yule ni mme wake tu. Alimwuliza mama akakubali ni mme wake eti walichana amekuja salimia watoto.

Jamaa baada ya kujua yule ni mke wa mtu akaamua kujitenga taratibu, hapo mama mapenzi ndo yamekolea haelewi kitu. Jamaa akafanikiwa kuwa nae mbali kimtindo akipiga cm hapokei nk. Yule mama akamind akatuma txt kwamba jamaa arudishe gari yake haraka.

Jamaa akanichek akanichana situation yote aktaka nimpe ideas kuhusu hii ishu, nikamwuliza gari umesajili kwa tin ya nan? Ya yule mama au yako? Akasema tin yake nikamwambia imeisha hio gari ni mali yako cha msingi hama hapo ulipokua unakaa then na gari tafuta sehem ifungie kwa muda.

Wakuu mnasemaje kuhusu ushauri nilompa??
 
Uzi huu umeletwa kwenu kwa hisani kubwa ya bongo movie.
EpMh_baVoAALCIQ.jpg
 
Acheni kupenda vya bure,
kuna jamaa alikimbia na gari la shuga mamy, ila yaliyomkuta sio ya kuhadithiww.
Walianza kudead mmoja mmoja wa jamaa zake wa karibu, mwisho ikija kufa gari baada ya kupata ajali kubwa na yy kuathirika sana.
Cha mtu mavi, tafuteni vyenu
 
Jamaa amevunja mkataba na Mama.Mkataba wa jamaa na Mama ni kuwa ampe Mama mapenzi motomoto bila ya kuangalia kama Mama ana mtu mwingine au laa na Mama ampe gari.Sasa ukivunja mkataba kwa makusudi unategemea nini?

Alichokosea mama ni kumpa jamaa asajili kwa tin ya jamaa angetumia yake sawa
 
Acheni kupenda vya bure,
kuna jamaa alikimbia na gari la shuga mamy, ila yaliyomkuta sio ya kuhadithiww.
Walianza kudead mmoja mmoja wa jamaa zake wa karibu, mwisho ikija kufa gari baada ya kupata ajali kubwa na yy kuathirika sana.
Cha mtu mavi, tafuteni vyenu

Me na ndinga yangu mkuu sina shida
 
Mzee alimnunulia ni sawa wewe unamnulie sim mpenz wako mkaachana utamdai??
Kwa mwanamke huwezi kumdai ila mwanamke akimnunulia mwanaume anadai tena level ya gari. Mtakuja kujuta baadae rudisheni hilo gari muendelee kupanda bodaboda. Uchi mmeukataa gari mnalitaka, kama vipi mrudishe majeshi muendelee kula mema ya nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom