Two weeks ago nlikuwa Mboka Manyema aka Tabora. Nilikuwa nimeenda kikazi nikawa nmekaa mjini kwa siku nane baada ya kumaliza kazi ndani ya muda jamaa yangu akanambia sababu tuna week nyingine ya...
Ilikua chuo hivi nikirudi zangu gheto, wakati napita maeneo ya bench za kusomea nikamuona toto la kizungu
limekaa bench zima peke ake nikajisemea hapa ndio penyewe sasa nikajiitupia salamu...
Mnamo miaka ya 2015 nilianzisha mahusiano na mwanamke mmoja hivi, sasa baada ya kipindi kifupi akapata ujauzito kumbuka hapo mimi nilikuwa sina kipato kinachoeleweka ila pia yeye alikuwa hana...
Mwandishi mkongwe, mwanamapinduzi na mwanaharakati Mtanzania anayeishi nchini Uskochi ameibuka na madai mazito dhidi ya jamii ya kitanzania kwa kile anachodai ni kuendekeza unafiki kwenye sakata...
Nawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafahamu humu kuna watu wenye caliber tofauti na uwezo wa hali ya juu...
Leo nimekutana na Dada mmoja ambae alikuwa rafiki yangu sana enzi za kipindi cha shule. Kuna jamaa aliniambia kuwa rafiki yako yule wa kike kashakuwa Dada poa maeneo ya Dar sehem fulani.
Basi...
Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture...
Namna gani wakuu,
Mimi kijana, naombeni angalau kaushauri flani hivi. Nina girlfrend ambaye ni mwezi wa tatu huu sasa tuko penzini, kiasi flani hivi nampenda ila siku za hivi karibuni amekuwa...
Habari wana JF,
Kuna watu hawajui kumuacha mtu kistaarabu, unakuta mtu anakuacha kwa masifa, madharau, nyodo kibao mpaka unadata. Mara nyingi watu wa namna hii mbele yao maishani hupitia misuko...
Leo acha nilivamie hili jukwaa maana kuna binti yupo kwenye drip ya kutoa sumu mwilini. Nitaruka kwenye hoja moja kwa moja. Kati ya mambo dada zetu hawapati sababu ya msingi ni kwanini wapenzi...
Uwa nawashangaa sana wanawake ukizungumzia swala la kuoa mke wa2 inakuwa kesi nzito... wakati yeye amezaliwa na mke 2 au kimada wa baba ake enzi hizo...
Kwa mwanaume aliyekamilika ni ngumu sna...
Hapa duniani tunapita tu hakuna atakayebakia ila milima peke yake, hivi mwanamke ni mtu au jini mtu? Kwanini wanajifanya wanabadilika kama rangi kwenye upinde wa mvua? Safari ya mapenzi kwangu...
Habari za muda huu wana JamiiForums hope mpo poa na maandalizi ya Chrismass
Leo nimejifunza kitu nikiwa karume saa 3 ucku kuna basi lilikuja likawa linatangaza G/Mboto sh 1000 dah kwa wazee...
Wasalaam
Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana...
Huyu binti nimemfahamu week tu lakini ameshanishinda.ni mzuri kwa sura na umbo. Ila amekosa akili.hilo ndo limenipa shida.akiandika texts zake hamu yoooote inaisha.
" Xaxa beby wwe hutaki 2o8 homu...
MUNGU umeumba vitu vyote kwenye ulimwengu huu,ukavitakasa na ku vibariki lakini Kati ya viumbe vyako vyote,kuna huyu kiumbe bin Adam, ulimuumba kwa namna ya pekee kabisa,
Kuanzia body appearance...
Wana bodi,
Ni hivi majuzi October, nilisafiri mbali na mkoa ninaojipatia riziki, nikaenda mkoa mwingine, na nilitakiwa kukaa miezi mitatu !
Nilifika salama na nikapanga chumba Cha muda...
Kuna Wanawake wanakuja katika kaisha yetu wenye kujitambua, wenye fikra za kimaisha, positive minded, wavumilivu, wastahimilivu, watulivu wa tabia na wazuri wa muonekano lakini kwa ujinga wetu...
Igweeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Nimewamisi sanaaa watu wangu wa nguvuuuu! Sikupanga kurejeaaaa ila imenibidiiii! Sio kwa ubuyuuuu huuuu!
Humu ndani kuna BOSS DE LA BOSS (NAOMBA NISEME HADHARANIIII SIO...
Wakuu habari za majukumu,
Kwanza kabisa mnisamehe bure kwa kuleta mada badala ya kuongolea mambo ya kimaendeleo lakini kutokana na suala lenyewe kunikosesha amani nimeona nilileta humu, maana...