Toto lakizungu...

Toto lakizungu...

The man1

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
429
Reaction score
383
Ilikua chuo hivi nikirudi zangu gheto, wakati napita maeneo ya bench za kusomea nikamuona toto la kizungu

limekaa bench zima peke ake nikajisemea hapa ndio penyewe sasa nikajiitupia salamu yakichokozi full kiswahili sikutaka ujuaji mwisho nikaaibika nakingeleza kilichofika kwa meli..
Bila kuchelewa toto lakizungu likatabasamu nakurudsha salamu, ...hahaha nikaona hapa sio pakuchelew nikakaa nae kwa bench katika kianzio cha stori nae "nikaamuuliza kwanini huko peke ako hapa vip kuna mtu wamsubiri"
Jibu alilonipa nkabaki kutahamaki tu et "niko hapa muda murefu lakini watu wananiogopa shijui ni kwanini"
Nikaangalia bench(mbweta) zingine watu wamefulika kwakubanana.....

Ni kweli tunaogopa hawa watu? Vipi ushawahii kutana na hili jambo
 
Nikweli ata kwenye daladala utakuta madem wakizungu wapo watatu wamekaa siti ya nyuma waswahili wakiingi wanashindwa kuwahambia wasogee ili ipatikane nafas ili mtu akae wanaiyari kusimama posts mbaka makumbusho siti ya nyuma wamekaa wazungu watatu nasio vibonge watanzania atujihamin sana tatizo sijui likowapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui tunakwama wapi

Hhaa Exile inauma sana, usipokua mjanja mjanja wakurudisha mapigo utajikuta unalazwa nje kila siku
Chuoni nilikuwa na room mate alikuwa anatoka na mzungu! Jamaa alikuwa maarufu chuo kizima... Chumbani ilikuwa ni full kupigwa exile!
 
[emoji6]
IMG_20190314_005839.jpeg
 
Back
Top Bottom