Ushauri: Anadai kuwa namuumiza

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
16,987
2,000
Namna gani wakuu,

Mimi kijana, naombeni angalau kaushauri flani hivi. Nina girlfrend ambaye ni mwezi wa tatu huu sasa tuko penzini, kiasi flani hivi nampenda ila siku za hivi karibuni amekuwa akilalama kuwa anapata maumivu kwa nyeti zake wakati wa tendo.

Sasa jana asubuhi mimi najiandaa zangu niingie class kanipigia simu kuwa katoka bafuni kuoga kajicheki nyetini kakuta kumetanuka; nikamwambia nikitoka class nitakuja nikucheki, nimeenda mcheki nimekuta kama alivonambia. So wakuu nifanyeje ili ni maintain nisimuumize tena mtoto wa watu? Nisaidieni aisee!.
 

Comrade Kip

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
230
250
kama unamuumiza haufanyi foreplay.,. na kama unafanya, haufanyi mda wa kutosha...ama hujui pa kumshika aloe vzuri..,. dushe kubwa sio ishu kama mtto kaandaliwa vzuri.....tena ndo angeifraia kama ulimuandaa sawia.,.,
Dem akiloa ile ki2 inatanuka vzurii tuu bila yye kuskia maumivu...
 

matobholo

Senior Member
Sep 21, 2016
106
225
Atazoea tu, mi demu Wang nilimbikiri akawa analalamika huko chini pametanuka kama kuna shimo kubwa ,lkn akaja kuzoea
 

Munni

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
299
500
Huyo wa kwenye avatar ni wewe?
Kama ndio nenda haraka hospital ukavishwe pete unabaka wewe.
Usikute na kizazi umeshakitoa duh!!
Kama punda.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom