Siri leo moja kati ya 77 ili mpenzi wako unayemtaka akuoe

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,958
3,307
Leo acha nilivamie hili jukwaa maana kuna binti yupo kwenye drip ya kutoa sumu mwilini. Nitaruka kwenye hoja moja kwa moja. Kati ya mambo dada zetu hawapati sababu ya msingi ni kwanini wapenzi wao wanaingia mitini wakati mambo yalikuwa mswano kwa level ya kuoana? Sababu zilishatajwa nyingi. Mimi natoa siri mojawapo kwa akina dada.

Unapokuwa kwenye mapenzi mazito mna tabia ya kuwa wawazi mno kwa wanaume wenu mkiamini yalishapita mnaganga na yajayo. Amini nakuambieni kiwango cha wivu wa mwanaume kiko juu kiasi kwamba ukweli wako kuhusu ex na mliyopata kufanyiana, kubakwa, bikra ilivyotolewa, ndugu zako na ndoa zao, n.k vinamwingia sana akilini na kumtafuna kiasi kwamba anaanza kutafuta pa kutokea akiamini au umeshakubuhu au muhanga kisaikolojia na hataki mlemavu wa kimapenz, au kwenu mko vile.

Habari ya yalishapita unayo wewe tu. Jiweke katika ukurasa ambao anayetaka uwe mke wake ajihisi yeye ndio mkubwa na mjuvi wa hii fani kana kwamba umejitunza kweli. Aamini amepata sio amepatwa. SIO KILA SIRI YA YALIYOPITA UMSHIRIKISHE MPENZ WAKO WA SASA.

Karibuni nakuja na siri nyingine ya mwanamke anayetamani kuolewa kujifanya anajua sana mambo ya chumbani tena dhidi ya mme mtarajiwa!
 
Mkuu kwa hiyo unamaanisha kwamba hata historia isifundishwe shuleni kwa sababu ina tukumbusha machungu ya wakoloni na kuwaona hata wa sasa ni mabeberu??
 
Sure hata mimi kuna binti nimempiga chini kimya kimya japo alijua ntamuoa
Maana alinisimulia jinsi alivyokuwa anachapwa hadi siku za hedhi.
Siku nilipofuma masms mabaya kwenye simu yake nikakumbuka na zile story dah!
Nimemuacha na sitomwambia ila uzuri amejiongeza saivi kila mtu kala kona zake hanitafuti simtafuti
 
Sure ata mimi kuna binti nimempiga chini kimya kimya japo alijua ntamuoa
Maana alinisimulia jinsi alivokuwa anachapwa hadi siku za hedhi.
Siku nilipofuma masms mabaya kwenye simu yake nikakumbuka na zile story dah!
Nimemuacha na sitomwambia ila uzuri amejiongeza saivi kila mtu kala kona zake hanitafuti simtafuti
Uyo anat**0mbwa mpk siku za hedhi duh hilo ni lijinamizi aswaaaa na midamu yake linatinduliwa bora umeliacha mana linaweza likakufanya sio
 
Aisee we jamaa umeongea ukweli mtupu, mimi pia ni muhanga wa hii kitu, my Girlfriend(japo hatujaachana) alisoma Mzumbe, Alipomaliza ndo tukakutana tukaanza mahusiano, kipindi cha mwanzoni mwa mahusiano yetu I loved her to the fullest, yaaani ilikua ilee deep love.

Nilimpenda sana sana na nilipanga ni muoe. Sasa alikua ana katabia kila siku ananipigia stori za ex boyfriend wake wa chuo, nilikua nampenda sana sana. Ila hii tabia nilikua siipendi.Yaani hata humuulizi bi dada anafunguka tuu automatically.
Yaani kila nnachomfanyia yeye anakumbushia kitu kama hiko au kinachofanana na hiko ambacho ex wake alikua anamfanyia.

Alikua anajisahau sana. Huwezi amini mpaka tukiingia kwenye mgahawa kula, utasikia analeta stori za exboy wake walivyokuwa wanaenda kwenye mgahawa kipindi wako chuo. Hii kitu iliniharibu kisaikolojia kabisa, Sikuwahi kumpenda tena the way i dd in the first place.

Haujakosea wadada sometimes huwa wanaponzwa na midomo yao wenyewe. Imeniharibu kisaikolojia To the maximum.
Kipindi namtokea nilikua namuona High value sana sana, I was proud of her kila sekunde kila dakika na nilikua nimepanga nije kumuoa Kama Mungu akisaidia, ila sentensi alizokua anaongea zilinifanya nimuone kumbe ni wa kawaida sana tofauti na value nnayompa. Kila sentensi aloongea kuhusu Ex wake haijawahi kunitoka akilini, ameniharibu kisaikolojia sidhani kama nitakuja kuwa sawa tena. Words are so powerfull.

Afu nampenda hadi nimeshindwa kumuacha, huwa sometimes i wish i can Undo things kiukweli. Nisingekutana nae kabisa. Niliwahi kumuambia hizi vitu zako na Ex wako mm its non of my business so usiwe unanimbia ila Kanajisahu kanaropoka tena.

Namuomba Mungu anipe ujasiri wa kumuacha, I love her and i hate her at the same. Yaani hata nikimuoa sidhani kama nitakuja kumpa tena ile value ya mwanzoni. Ni hatari.
 
Sure ata mimi kuna binti nimempiga chini kimya kimya japo alijua ntamuoa
Maana alinisimulia jinsi alivokuwa anachapwa hadi siku za hedhi.
Siku nilipofuma masms mabaya kwenye simu yake nikakumbuka na zile story dah!
Nimemuacha na sitomwambia ila uzuri amejiongeza saivi kila mtu kala kona zake hanitafuti simtafuti
Unajuaje hata kuwa na wewe ulikuwa wa ziada tu kwake ndo maana haangaiki
 
Unajuaje ata kuwa na wewe ulikuwa wa ziada tu kwake ndo maana haangaiki
Nimeandika hapo juu kwamba nilikuta sms chafu kwenye sms yake kwa hiyo ni wazi sikuwa mwenyewe ingawa wakati ananisimulia hizo past zake alinambia kaamua kutulia na mimi ndio maana kaona anambie hayo yote.
 
Aisee we jamaa Umeonge ukweli mtupu, Mimi pia ni muhanga wa hii k2, my Girlfriend(japo hatuja achana) alisoma mzumbe, Alipo maliza ndo tukakutana tuka anza mahusiano, kipindi cha mwanzoni mwa mahusiano yetu I loved her to the fullest, yaaani ilikua ilee deep love.
Nilimpenda sana sana na nilipanga ni muoe.
Sasa alikua ana katabia kila siku ananipigia stori za ex boyfriend wake wa chuo, nilikua nampenda sana sana. Ila hii tabia nilikua siipendi.Yaani hata humuulizi bi dada anafunguka tuu automatically.
Yaani kila nnachomfanyia yy anakumbushia ki2 kama hko au kinachofanana na hko ambacho ex wake alikua anamfanyia.
Alikua anajisahau sana.
Huezi amini mpaka tukiingia kene mgahawa kula, utackia analeta stori za exboy wake walivyokua wanaenda kene mgahawa kipindi wako chuo.
Hii k2 iliniharibu kisaikolojia kabisa, Sikuwah kumpenda tena the way i dd in the first place.
Haujakosea wadada sometimes hua wanaponzwa na midomo yao wenyewe.
Imeniharibu kisaikolojia To the maxmum.
Kipindi namtokea nilikua namuona High value sana sana, I was proud of her kila sekunde kila dakika.na nilikua nimepanga nije kumuoa Kama mungu akisaidia, ila sentensi alizokua anaongea zilinifanya nimuone kumbe ni wa kawaida sana tofauti na value nnayo mpa.kila sentensi aloongea kuhusu Ex wake haijawah kunitoka akilini, ameniharibu kisaikolojia sidhani kama nitakuja kuwa sawa tena.
Words are so powerfull.
Afu nampenda hadi nimeshindwa kumuacha, hua sometimes i wish i can Un do things kiukweli.Nicngekutana nae kabisa.
Niliwahi kumuambia hzi v2 zako na Ex wako mm its non of my business so usiwe unanimbia ila Kanajisahu kanaropoka tena.
Namuomba mungu anipe ujasiri wa kumuacha, I love her and i hate her at the same. Yaani hata nikimuoa cdhani kama nitakuja kumpa tena ile value ya mwanzoni.Ni hatari.
WARNING!!WARNING!! SIMP ALERT SIMP ALERT!!PROCEED IN CAUTION...SIMP ALERT CONTINUE AT YOUR OWN RISK Lizarazu
 
Back
Top Bottom