Leo nimeamua kufungua huu uzi ambao unaweza kuwa faraja sana kwa wanawake wenye figa za wastani, katika kipindi hiki cha sikukuu nilifanikiwa kutinga viwanja kadhaa vya starehe nilianzia pale TNT...
Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili...
Kuna shemej yenu mmoja ambaye nipo naye muda kidogo. kiukwel nimepitia mahusiano meng..kiufup zile achana achana nmepitia za kutosha mpaka moyo wangu umekua kama chuma.
Huyu bint toka nimekua nae...
Habari wakuu.
Aisee Wakubwa kumbe kuna muda unaweza kufika mapenzi yanaweza kuwa hayana kipaumbele kabisa katika maisha yako.
Yaani sio kwamba hauna hisia ila una amua kuwa katika mahusiano...
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao...
Ndoa ni sunna na inatakiwa kuwa handled kwa namna ya kipekee mno. Naongelea Ndoa na si Mahusiano.
Mke katika safari yake ya Ndoa anahitaji vitu kadhaa ambavyo ni muhimu zaidi kwake, nitavitaja...
Ni kauli gani ya mwanamke HUIAMINI kabisaa...
1. Sina nauli😊
2. Niko period😜
3. Mi bado bikra😒
4. Sina mwanaume zaidi yako🙄
5. Ni friends tu hakuna chochote 🤔
6. Mmmh mwenzio naogopa!🤗
7. Nina...
Habari
Sex ni miongoni mwa tendo lenye nguvu sana kijamii watu huwa wanafanya vitu vya ajabu ili tu kupata huduma hiyo. Wapo wanaotoa hela straight ili kupata, wanotoa chipsi, wanaotoa nyumba ili...
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa?. Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi...
Habari wakuu
Nimetoka kusikiza hii session muda sio mrefu(Clouds fm)
Huyu mdau aliyetaka kupima mahusiano yake baada ya girlfriend wake kuonesha mabadiliko ya kitabia sijui atalala vipi leo[emoji23]
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha.
Wahenga walisema kosea...
Nime breakup na mpenzi wangu kwa hiyari yangu ila najiskia nahitaji mtu wa kunijali na kunitimizia haja zangu kama mwanamke na am not that lonely ila kuna wakati mida kama hii natamani ningekuwa...
Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa.
Kwanini
Kwasababu baadaye atakusumbua Sana.
Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi...
Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada..
Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli.
Napenda sana drama ndio...
Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao.
maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza...
For those who are not chaggas - no comment!
There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics...
Sometimes unakuta una mahusiano na mtu alafu unampenda sana lakini unajua kabisa ana tabia mbovu na hatarishi kama ukiamua kumuoa lakini unakomaa nae tu hivyo hivyo kwa vile kumuacha...
Jamaa alioa mke ambaye tayari alikuwa na boma la vyumba viwili.Akasaidiana na mkewe wakaezeka na kufanya finishing pamoja na kuongeza chumba mabanda nje.Walipohamia jamaa akampatia mke kitanda,tv...
Hivi umewahi kujiuliza kwanini kituo huwekwa mwishoni mwa neno na si alama ya Koma?? Au umewahi kujiuliza kwanini Mabasi hufikia kituo cha mabasi na si nyumbani kwa Dereva? Au umewahi kujiuliza...