1:Achepuke kwa siri sana usije ukajua
2:Atumie kinga (condom)
Haya mawili anagalau anaweza akazingatia,Ukimwambia asichepuke kwasababu unampenda sana au unampa mapesa mengi au unampeleka kibo mara...
Tuna mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 3 , Tulibahatika kupata mtoto kabla ya kuoana yaani kipindi cha upenzi ndio kipindi ambacho alipata mimba na baadae akajifungua ndipo...
Habar wana jf Leo nimekuja hapa naomba ushaul pia ujifunze kwa hiki kilicho Nikuta
Mm nikijana Wa miak 22 nimetoka Dar nimekuja njombe makambak kufanya maisha sasa wenyej wangu wahapa nivijana...
Unakuta umempata mwanamke, tena umemuotea tuu mahali wale wa kuelewana dau, mnaenda mnaanza game, condom hamna lakini wanakubali tuu, na wanaume hata hatuogopagi aisee. UKIMWI upo jamani.
Vijana...
Dear sister, it is painful but the crystal truth. This is what married men have eventually done to their so called ‘side chicks’.
1. The main thing he needs from you is to get you in bed, After...
Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima...
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nafanya kazi ya kawaida tu ila nipo bize sana na mambo yangu binafsi ila kwa kweli naweza kusema wake za watu wamekuwa rahisi sana siku hizi. Nina mahusiano na...
Unakuta ukiishika tu simu ya mdada basi anakurukia huyo yaani usipokuwa makini anaweza hata akakutegua mkono wako.
Mkiwa mmekaa halafu ukawa kama unaisogelea simu yake basi asipoisogeza pembeni...
Japo mbongo teh nipo Dongobesh jiji la maraha 24hrs linapatikana kusini mwa jangwa la Sahara huku kunavitu adimu sana (Endemic species ) lower cost with high kwaliti . Kama hukuwahi kuiona dunia...
Dada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi...
Iyo nadharia huwaga naisikia sana hasahasa mitaani ukikaa hata vijiweni na washkaji maranyingi wanapenda kusema hiyo kitu kwamba wanawake wanaokuwa na utege basi wanakuwa na ile kitu ndefu sana...
Wakuu kiukweli nimekuwa chizi wa mapenzi nashindwa kuelewa, kuna demu npo nae lakini amebadilika sana, nina miezi nae 10 lakini amebadilika kiasi ninachonishawishi kuwa Ana mtu, ishu IPO hivi...
Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu...
Mabaria wenzangu tuwe makini sana narudia tena tuwe makini sana nakazia tena tuwe makini sana na hawa mademu wa Insta.
Last week nilipata demu 1 huko Insta bhasi bhana tukaanza chats kwa kasi...
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari...
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika. Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka muda mwingi anione. Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje...