Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Unakuta umempata mwanamke, tena umemuotea tuu mahali wale wa kuelewana dau, mnaenda mnaanza game, condom hamna lakini wanakubali tuu, na wanaume hata hatuogopagi aisee. UKIMWI upo jamani.
Vijana wa kike na wa kiume tukumbukeni condom aisee tutakufaa.
Vijana wa kike na wa kiume tukumbukeni condom aisee tutakufaa.