Huyu Demu ndio alieniloga uchizi

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Wakuu kiukweli nimekuwa chizi wa mapenzi nashindwa kuelewa, kuna demu npo nae lakini amebadilika sana, nina miezi nae 10 lakini amebadilika kiasi ninachonishawishi kuwa Ana mtu, ishu IPO hivi, sijawahi kumgonga kutokana na umbali mimi npo Dar yy Moro halafu anakaa kwa dadaake kila nikimtumia nauli aje dar hataki Kuja sababu kibao, zaidi nakumbuka Mara ya mwisho niliendaga moro kumtembelea niliambulia kissing tu tu alikuwa period na ananivulia na kuona kweli.

Sasa ishu ya mawasiliano imepungua unakuta tunaweza kaa siku5 bila kunitafuta, mbaya zaidi WhatsApp namuona kila siku tunaonana online lakini noop mawasiliano, kufupisha ni kwamba nilikuwa nikimuuliza why hanitafuti anasema yupo bussy nililalamika hii tabia nikaona bora nifanyamaze kuna kipindi nilimwambia Kama VP tuachane akasema poa ghafla baadae ananitafuta ananiomba msamahaa anadai ananipenda, wakuu nipeni ushauri wa kumuacha huyu demu maana natamani nimuache Ila nashindwa naombeni wanasaikolojia mnisaidie😴😴😴😴😴😰😰😰😰😰
 
Hujarogwa Wala sio uchizi,huo ni uponyanya yaan ushamba ukiuacha utaelewa hapo Kama una mtu au umeangukia sehemu sio.
 
Bro tafuta tuu hela
Juzi hapa umelalamika kuna dem huku JF amekutapeli
Mbona kama unapigwa matukio sana halaf husanuki
Unazingua
 
Usikubali kuendeshwa na hawa viumbe hata siku moja. You'll loose focus. Learn to move forward. Keep in mind that they're soo unpredictable and complicated. Devote your time into doing things that have impact in your life journey.
 
Sisi kaka zako tushasema hakuna mdada anakuwa na mshikaji mmoja tu kabla hajaolewa...
 
Wakuu kiukweli nimekuwa chizi wa mapenzi nashindwa kuelewa, kuna demu npo nae lakini amebadilika sana, nina miezi nae 10 lakini amebadilika kiasi ninachonishawishi kuwa Ana mtu, ishu IPO hivi, sijawahi kumgonga kutokana na umbali mimi npo Dar yy Moro halafu anakaa kwa dadaake kila nikimtumia nauli aje dar hataki Kuja sababu kibao, zaidi nakumbuka Mara ya mwisho niliendaga moro kumtembelea niliambulia kissing tu tu alikuwa period na ananivulia na kuona kweli.

Sasa ishu ya mawasiliano imepungua unakuta tunaweza kaa siku5 bila kunitafuta, mbaya zaidi WhatsApp namuona kila siku tunaonana online lakini noop mawasiliano, kufupisha ni kwamba nilikuwa nikimuuliza why hanitafuti anasema yupo bussy nililalamika hii tabia nikaona bora nifanyamaze kuna kipindi nilimwambia Kama VP tuachane akasema poa ghafla baadae ananitafuta ananiomba msamahaa anadai ananipenda, wakuu nipeni ushauri wa kumuacha huyu demu maana natamani nimuache Ila nashindwa naombeni wanasaikolojia mnisaidie
Endelea kutuma nauli.. foolish guy pumbav..
Utaamka lini ww... acha ujinga.
 
Back
Top Bottom