Eti Mwanamke mwenye tege anakuwa na sehemu ndefu?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,540
2,000
Iyo nadharia huwaga naisikia sana hasahasa mitaani ukikaa hata vijiweni na washkaji maranyingi wanapenda kusema hiyo kitu kwamba wanawake wanaokuwa na utege basi wanakuwa na ile kitu ndefu sana.

Kwa upande wangu huwaga sina cha kuchangia ikifikia story hiyo kwani sina experience ya kukutana na manzi mwenye utege sasa nimeona leo nilimwage kwa wajuzi wa mambo waje kutufahamisha kama hii kitu inaukweli ama ni fununu tu kama fununu zingine

Tunawaomba wanaojua na wenye uzoefu watuambie, wanawake njooni pia mtujuze kuna ukweli kuhusu hii kitu.
 

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
432
1,000
Iyo nadharia huwaga naisikia sana hasahasa mitaani ukikaa hata vijiweni na washkaji maranyingi wanapenda kusema hiyo kitu kwamba wanawake wanaokuwa na utege basi wanakuwa na ile kitu ndefu sana. Kwa upande wangu huwaga sina cha kuchangia ikifikia story hiyo kwani sina experience ya kukutana na manzi mwenye utege sasa nimeona leo nilimwage kwa wajuzi wa mambo waje kutufahamisha kama hii kitu inaukweli ama ni fununu tu kama fununu zingine
Tunawaomba wanaojua na wenye uzoefu watuambie, wanawake njooni pia mtujuze kuna ukweli kuhusu hii kitu.
Matege ya aina ipi, yakutoka nje au ya kuingia ndani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom