Hivi wanawake simu zenu zina nini hasa?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Unakuta ukiishika tu simu ya mdada basi anakurukia huyo yaani usipokuwa makini anaweza hata akakutegua mkono wako.

Mkiwa mmekaa halafu ukawa kama unaisogelea simu yake basi asipoisogeza pembeni basi ataitia kwenye nyonyo kabisa.

Hakuna mdada anayeweza kukupa simu yake umpelekee kwa fundi asipoenda mwenyewe basi yupo radhi aendelee kutumia simu mbovu.

Akikupa umuwekee chaji basi atakukodolea mimacho huyo mpaka ajiaminishe hujafungua hata kama ameweka pattern.

Hivi mtuambie nyie viumbe simu zenu zina nini hasa kinachofanya zinawatesa hivi.
 
😂nilibahatik kushika simu za wanawake/wasichana kama 17.kumi na mbili kati yao wanatumia telegram na wamejoin zile channel pendwa example "kilimani ndogo,hookups,etc." yaani ni ngori joh...🙌😂😂😂😂😂😂😂
 
Unakuta ukiishika tu simu ya mdada basi anakurukia huyo yaani usipokuwa makini anaweza hata akakutegua mkono wako.

Mkiwa mmekaa halafu ukawa kama unaisogelea simu yake basi asipoisogeza pembeni basi ataitia kwenye nyonyo kabisa.

Hakuna mdada anayeweza kukupa simu yake umpelekee kwa fundi asipoenda mwenyewe basi yupo radhi aendelee kutumia simu mbovu.

Akikupa umuwekee chaji basi atakukodolea mimacho huyo mpaka ajiaminishe hujafungua hata kama ameweka pattern.

Hivi mtuambie nyie viumbe simu zenu zina nini hasa kinachofanya zinawatesa hivi.
Demu anaficha ficha simu kama kete za bange 😂!!! Hapo anaogopa utasanda kuwa kuna maboya kama 6 kawaseti
 
Labda wengine simu zao wanatumia kufanyia mambo mengi ambayo sio useful, baada ya kuwa active na vitu venye tija. kwahiyo anaogopa utamuona kichwa tikiti(unorganized)
 
Back
Top Bottom