Mpenzi wangu ananiita baba, je ni sahihi?


Anakosea sanaaaa. Kuitwa Daddy au Papa at least mfuko uwe unaeleweka maninaa anakupa sifa sio zako mteme fasta.
 
Mie pia ananiita baba

Na wewe kaa kwa kutulia. Wewe tayari ni Baba Acha akuite tu😬😬
 
Siyo sahihi kabisa!! Mwambie akuite Kaka au Dogo maana ndiyo majina unayostahili.

BABA tunaitwa sisi ambao tayaei tuna watoto, lakini pia tunaweza kuyamudu maisha ya kifamilia.
 
Baba...

1. Watoto
2. Mwenye nyumba
3. Wawili
4. Mwenye gari
5. Wa taifa
6. Mwenye pesa
 
Back
Top Bottom