Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
1. ANAKWEPA MAZUNGUMZO YA NDOA Haonyeshi Kufurahi Unapoanzisha Mazungumzo Kuhusu Suala La Kufunga Ndoa Na Wala Hapendi Kuzungumzia Hilo. Wakati Mwingine Hata Kukutambulisha Kwa Ndugu Zake Au...
-1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu, Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia. Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yaani vijijini mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenzi wakiwa watoto chini ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni mzoefu katika mahusiano kwa muda wa zaidi ya miaka 10 Sasa. Nimepitia different tastes, lakini nisemee makundi mawili la wanawake wembamba na wale wenye maumbo mwana. Nilichogundua kwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamaa yangu wa kazini leo kaja home kunichukua twende meneo ya uswahilini anakoishi. Anaishi Kijitonyama. Ni maeneo yenye msongamano sana kwa kweli sijui tu why serikali isingebomoa...
45 Reactions
59 Replies
7K Views
Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Bill gates alikuwa anampenda mwanamke ambayo hakuweza kumuoa ila Melinda alimruhusu Bill gates, kuwa na huyu mwanamke every weekend mambo ya camila na Diana .Jina lake Ann Winblad
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji...
6 Reactions
141 Replies
8K Views
Habari zenu jamani JF, Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau? Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani...
20 Reactions
183 Replies
21K Views
Huyu mwanamke namkubali sana, huwa ana tabia ya kunipigia simu asubuhi lakin leo nimempigia amepokea hajaongea then akazima simu. Sasa nafikiria atakuwa amelala na mwanaume mwingine wakuu...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother! Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na...
30 Reactions
74 Replies
7K Views
Salaamuni, Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Siongezi neno wala kupunguza! Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kudumu kwenye mahusiano ni jambo la heri, ingawa sometimes watu inawabidi kuachana na wapenzi wao iwe kwa sababu moja au nyingine. So kwa wale ambao waliodumu au walishawai kuwa kwenye mahusiano...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
My True story. Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini. Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo...
13 Reactions
126 Replies
21K Views
Wangu.alikua anacheza mziki kitandani, Mungu amjalie huko alipoolewa. Huyu.mwanamke sijawahi. kumsahau hata baada ya kuoa na yeye kuolewa.[emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji851]...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za muda huu wana JF. Katika changamoto kubwa niliyonayo katika maisha yangu ya mahusiano..nipo sensitive sana kwenye mapenzi hasa pale mpenzi wangu anapofanya jambo la kuniumiza. Kiufupi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tulikuwa tupo mahali tunapiga one two. Npo na rafiki yangu, mzee wake na wazee wengine watatu. Baba yake rafiki yangu (mzee) anapesa pesa pesa. Story nyingi tulipiga ila kuna jambo lilinishangaza...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia...
5 Reactions
117 Replies
9K Views
Back
Top Bottom