Bila kuathiri hisia za mke/mume njia gani nzuri ya kumkatalia kufanya tendo la ndoa usipohitaji?

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,190
2,000
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia. Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!
 
Eli24

Senior Member
Jan 1, 2018
139
250
Ni vizur km wanandoa kuwa na ratiba juu la suala hlo lakin pia n kuwepo na visms vya hapa na pale vya kutegana ht km mwenzio hana hamu basi kunauwezekano wa kumpandisha hisia na kujua mood yake km leo kuna game au la. Hayo n mawazo yangu tu labda wengine watakuja kukupa upeo mpna kabsa
 
Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,190
2,000
Ni vizur km wanandoa kuwa na ratiba juu la suala hlo lakin pia n kuwepo na visms vya hapa na pale vya kutegana ht km mwenzio hana hamu basi kunauwezekano wa kumpandisha hisia na kujua mood yake km leo kuna game au la. Hayo n mawazo yangu tu labda wengine watakuja kukupa upeo mpna kabsa
Mkuu kwenye ratiba hapo inawezakana lakini natilia shaka.
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
1,876
2,000
Mwambie, ongea nae kwa lugha ya upole na unyenyekevu kuwa leo haupo katika mood nzur na umpe sababu za ww kuwa hvyo ata kama nizauongo huku ukitanguliza samahani kwa kushindwa kumtimizia aja zake na kumuahid angojee mda mwingne utakapo kuwa sawa utamtimizia sawa sawa na mahitaji yake, ukiisha maliza kusema hvyo usimuache alale tu hvyo hvyo mkumbatie kwa nguvu na umueleze ni kwajins gan unampenda na kumthamin.

NB: usifanye hvyo kila siku atajua unamfanyia makusudi
 
kazi NA sala

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,611
2,000
Ni vizur km wanandoa kuwa na ratiba juu la suala hlo lakin pia n kuwepo na visms vya hapa na pale vya kutegana ht km mwenzio hana hamu basi kunauwezekano wa kumpandisha hisia na kujua mood yake km leo kuna game au la. Hayo n mawazo yangu tu labda wengine watakuja kukupa upeo mpna kabsa
Sijawahi kuelewa suala la ratiba linakuwepo vipi kwenye mambo ya tendo la ndoa....yaani mtu unajiandaa kuwa leo nitashiriki,ilihali jana hukushiriki,kesho sitoshiri,kesho kutwa nimo,mtondogoo.......??

Hii naona muhimu iwe automatic tuu,cha muhimu ni kulinda siku zake..

Visingizio vingine nahisi may be jamaa hapendwi..

Kwa mwanamke anayempenda mumewe atafanya kila njia amridhishe mumewe kwa namna yoyote atakayofanya ili mumewe abaki nyumbani...kwa sbabu wanawake wana wivu sana.

Hayo sijui leo hivi..mara kesho vile..mara jana hapana.....hamna upendo
 
Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,618
2,000
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia.
Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!

Njia nzuri ni kusafiri ama kutumia dawa ya mseto ya malaria nakuhakikishia hautamkwaza
 
Waaai

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
1,299
2,000
Kama mwenzio anataka mpe tu au mfanye utlist ipunguze uhitaji. Njia ni nyingi za kukata kiu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom