Mnawezaje kucheat & at the same time mkaweza kumaintain upendo wenu kwenye mahusiano yenu?

kityentyee

Member
Mar 9, 2021
72
338
Salaamuni,

Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost miaka miwili sasa lengo langu likiwa nijiweke sawa ili nipate uhakika wa kuishi nae mtoto wa watu bila mashaka,,, katika kipindi chote hicho nimejitoa sana kumsuppot katika masomo yake maana nilianza nae mahusiano tangia akiwa form 5 mwaka 2019 mwanzoni

Nimekuwa nikijitahidi sana kumpa care,,, muda,,, penzi,,,na hata kumfungulia account kwaajili ya akiba yake pindi akiwa na shida ambazo sitoweza kuzitatua pindi atakapohitaji msaada wangu halafu niwe sina vyangu.

Nisiwe muongo ndugu zangu huyu binti nilitokea kumpenda sana tu kama unavojua sisi wanaume huwa tuna kamsemo kanasema "Msela akipenda hata kibanda atajenga",,,, huyu binti nilimzimikia ipasavyo japo sikumkuta bikira ila niliamua tu kuridhika nae kutokana na maisha aliyonayo,,, uyatima wa kuishi na mzazi mmoja (mama),,, hali ya maisha na mazingira aliyokulia so niliamini kwamba pengine kupitia kumpa care na kumhudumia na kumpa upendo pengine ningeweza kumbadilisha ili awe aina ya mwanamke nimtakae.

Alinionesha upendo,,,alinipatia heshima yangu kadiri alivoweza japo kuna time alikuwa anajaribu kunipanda kichwani nahisi ni kwa sababu I was too loyal kwake with deep love maybe she took an advantage of it kufanya baadhi ya visa kwamba siwezi kumuacha.
Ilinichukua muda kuuwin moyo wake mpaka kuja kuanza kupata ile MUTUAL LOVE baina yetu maana kuna kipindi kile cha Corona nilipoteza kazi nikapigika haswaa hata hela ya kula sometimes nanga ilikua inapaa wakulungwa hope wengi wetu mnaelewa mauza uza ya kipindi hicho,,,,ila binti hakuonesha kunichoka wala nini sanasana ilikua kila weekend anajitahid kuja gheto kuniliwaza na kunifariji mkulungwa mwenzenu.

Kilicho nifanya nilete hii mada ni kwamba kuanzia mwaka jana august binti alihitimu form six akaniaga anaenda mkoa flani kwa mama zake wadogo kwenda kusalimia,,,,ilimchukua wiki kama 2 hivi then akarudi siku ya birthday yangu tukacelebrate na mzigo nikala fresh kabisa tena alionesha kunimiss sana.

Kuanzia mwezi wa 11 alipoanza chuo nilimnunulia simu mpya kama pongezi kwamba anaanza chuo,,,,lakini kuna siku nilikuja kugundua kwenye SEARCH HISTORY YA INSTAGRAM ACCOUNT YAKE kuna jina la EX wake wa zamani nahisi ndie aliye mbikiri,,,maana nilivokuja kufuatilia saana nikagudua kumbe hata ile safari aliyoenda kule mkoani alipata nafasi pia ya kuonana na huyo jamaa yake wa zamani ,,,,,nikajaribu kumbana sana siku hiyo mixer mikwara mizito mpaka akakiri kwamba ni kweli alivosafiri huko walipasha kiporo na huyo mshkaj wake,,, I swear niliumia sana nikajiona mjinga

Nikahisi thamani yangu imeshuka maana kumbe binti aligegedwa huko halafu na mie akaniletea huku tena siku ya birthday yangu,,,,halafu kupitia tukio hilo niligundua pia hata home kwao kwa baba yake mkubwa anapoishi kuna ndugu zake huwa wananichapia daaahhh asikwambie mtu niliumia vibaya sana japo binti hakuwahi kunionesha hali yoyote ya upendo wake kupumgua kwangu.

Kama ujuavyo sie wanaume kosa la usaliti huwa ni vigumu sana kulisamehe tena mbaya zaidi huyu wangu kanicheat na EX wake kitu kinachonifanya nihisi labda binti bado anamfeel huyo mwamba. Niliamua tu kumpiga chini japo nilimwambia kwamba nitaendelea kumsuppot katika baadhi ya mambo yake ya kimasomo pale itakaponibidi ila suala la mie kuja kumuoa or kurudiana nae kuendelea na mahusiano hilo asahau kabisa,,,,najihisi kinyaa hata kumgegeda,

Sina imani nae tena kama zamani,,,japo bado nampenda ila nimeamua tu kumpiga chini ili niipe amani nafsi yangu,,,,maana kinachoniuma zaidi ni kwamba binti amegawa tunda wakati mimi tangia nimeanza mahusiano nae I SWEAR SIJAWAHI KUMSALITI NAAPIA NDUGU ZANGU,,,,,nilijitahidi sana kumtunzia heshma nikiamini kwamba nakua mfano wa kuigwa kwa mwanamke wangu ili naye ajitunze. WHY WANAWAKE MNATUTESA?

HAMUELEWEKI MNATAKA NINI KWENY HAYA MAPENZI,,,,,TUWAFANYIE NINI ILI MTULIE?

Kama ni kweli wanasemaga WOMEN CHEAT WITH FEELINGS basi huyu baeb wangu nahisi hata kama nitamuoa ila huyo jamaa yake bado atanichapia tu DAADEEKIII

NILICHOJIFUNZA KUPITIA HUYU BINTI:

1: Mwanamke ukimuonesha kumpenda sana,,,ukiwa loyal sana,,,ukijifanya sharukh khan sana basi atakudharau na kukuona fala kwamba huwez muacha,,,so nimejifunza KUBALANCE SHOBO

2: Oeni mwanamke BIKIRA,,,, hii itasaidia sana kupunguza maumivu ya kuchapiwa,,, pia itakufanya ujione wewe ndo champion kwa mwanamke wako hata kama ukigongewa,,, ila siyo kwamba ndo itazuia kuchapiwa.

3:Mliojaaliwa watoto jitahidini sana kulea watoto wenu wenyewe,,,hizi habari za kupeleka mtoto akaishi sijui kwa uncle,,,bamkubwa,,,sijui ODO kwa maisha ya sasahivi ni ngumu sana mtoto wa kike kuruka viunzi.

4:Vijana wenzangu jitahidini sana kumtafuta kiumbe anaitwa PESA !! maana kuna msemo huwa unasema "mwanaume haridhiki ila huwa anatosheka,,ila mwanamke huwa anotosheka ila haridhiki,,,"

DEAR LADIES,,,,,how do you manage to cheat and at the same time you just maintain your love quantity ??? mnawezajee?

Kwanini tukiwapenda or tukiwa loyal mnatuchukulia mafala or mabwege?
 
Acha ubwege wewe ukipiga chini huduma unakata tu. Acha kujifanya mzazi Kwa watoto wa watu wewe.

Kama unaamua kumsaidia mtu kama mzazi wake hakikisha siyi mpenzi wako ni msaada unaotoa tu kama binadamu.

Kama ukiamua piga chini kwa usaliti unapiga chini na huduma uache ujinga wa kuwa vugu vugu. Ama uwe moto au baridi.
 
Ni hatua mojawapo katika maisha. Hata dhahabu ina hatua zake hadi kufikia kuwa kito cha thamani
 
hadi nimeuhisi uchungu wako aseee!!
hii kitu inauma jombii acha tuu...hata ikipita miaka lakini ukikumbuka moyo huwa una TWIST kidogo..
next time usiamini sana mwanamke jaribu kubalance ili ikitokea lolote uweze kujinusuru
 
Nilichogundua wewe jamaa ni fala.
1619761058704.png
 
Pole sana Mkuu Nafikiri umejiumiza sana kwa tumaini la kuwa ukimsaidia utambeba mazima. Hicho kipengele cha kusomesha kimetoa watu machozi sana.

Siku nyingine msaidie mtu ukiwa huna tumaini la kupata chochote toka kwake ukumbuke binadamu tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha sanaaa...

Hilo suala la ndugu kutafunana linazidi kukua siku kwa siku kwa sababu hata baadhi tunaoshuhudia kama mimi tunakaa kimya tu.
 
Salaamuni,

Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost miaka miwili sasa lengo langu likiwa nijiweke sawa ili nipate uhakika wa kuishi nae mtoto wa watu bila mashaka,,, katika kipindi chote hicho nimejitoa sana kumsuppot katika masomo yake maana nilianza nae mahusiano tangia akiwa form 5 mwaka 2019 mwanzoni

Nimekuwa nikijitahidi sana kumpa care,,, muda,,, penzi,,,na hata kumfungulia account kwaajili ya akiba yake pindi akiwa na shida ambazo sitoweza kuzitatua pindi atakapohitaji msaada wangu halafu niwe sina vyangu.

Nisiwe muongo ndugu zangu huyu binti nilitokea kumpenda sana tu kama unavojua sisi wanaume huwa tuna kamsemo kanasema "Msela akipenda hata kibanda atajenga",,,, huyu binti nilimzimikia ipasavyo japo sikumkuta bikira ila niliamua tu kuridhika nae kutokana na maisha aliyonayo,,, uyatima wa kuishi na mzazi mmoja (mama),,, hali ya maisha na mazingira aliyokulia so niliamini kwamba pengine kupitia kumpa care na kumhudumia na kumpa upendo pengine ningeweza kumbadilisha ili awe aina ya mwanamke nimtakae.

Alinionesha upendo,,,alinipatia heshima yangu kadiri alivoweza japo kuna time alikuwa anajaribu kunipanda kichwani nahisi ni kwa sababu I was too loyal kwake with deep love maybe she took an advantage of it kufanya baadhi ya visa kwamba siwezi kumuacha.
Ilinichukua muda kuuwin moyo wake mpaka kuja kuanza kupata ile MUTUAL LOVE baina yetu maana kuna kipindi kile cha Corona nilipoteza kazi nikapigika haswaa hata hela ya kula sometimes nanga ilikua inapaa wakulungwa hope wengi wetu mnaelewa mauza uza ya kipindi hicho,,,,ila binti hakuonesha kunichoka wala nini sanasana ilikua kila weekend anajitahid kuja gheto kuniliwaza na kunifariji mkulungwa mwenzenu.

Kilicho nifanya nilete hii mada ni kwamba kuanzia mwaka jana august binti alihitimu form six akaniaga anaenda mkoa flani kwa mama zake wadogo kwenda kusalimia,,,,ilimchukua wiki kama 2 hivi then akarudi siku ya birthday yangu tukacelebrate na mzigo nikala fresh kabisa tena alionesha kunimiss sana.

Kuanzia mwezi wa 11 alipoanza chuo nilimnunulia simu mpya kama pongezi kwamba anaanza chuo,,,,lakini kuna siku nilikuja kugundua kwenye SEARCH HISTORY YA INSTAGRAM ACCOUNT YAKE kuna jina la EX wake wa zamani nahisi ndie aliye mbikiri,,,maana nilivokuja kufuatilia saana nikagudua kumbe hata ile safari aliyoenda kule mkoani alipata nafasi pia ya kuonana na huyo jamaa yake wa zamani ,,,,,nikajaribu kumbana sana siku hiyo mixer mikwara mizito mpaka akakiri kwamba ni kweli alivosafiri huko walipasha kiporo na huyo mshkaj wake,,, I swear niliumia sana nikajiona mjinga

Nikahisi thamani yangu imeshuka maana kumbe binti aligegedwa huko halafu na mie akaniletea huku tena siku ya birthday yangu,,,,halafu kupitia tukio hilo niligundua pia hata home kwao kwa baba yake mkubwa anapoishi kuna ndugu zake huwa wananichapia daaahhh asikwambie mtu niliumia vibaya sana japo binti hakuwahi kunionesha hali yoyote ya upendo wake kupumgua kwangu.

Kama ujuavyo sie wanaume kosa la usaliti huwa ni vigumu sana kulisamehe tena mbaya zaidi huyu wangu kanicheat na EX wake kitu kinachonifanya nihisi labda binti bado anamfeel huyo mwamba. Niliamua tu kumpiga chini japo nilimwambia kwamba nitaendelea kumsuppot katika baadhi ya mambo yake ya kimasomo pale itakaponibidi ila suala la mie kuja kumuoa or kurudiana nae kuendelea na mahusiano hilo asahau kabisa,,,,najihisi kinyaa hata kumgegeda,

Sina imani nae tena kama zamani,,,japo bado nampenda ila nimeamua tu kumpiga chini ili niipe amani nafsi yangu,,,,maana kinachoniuma zaidi ni kwamba binti amegawa tunda wakati mimi tangia nimeanza mahusiano nae I SWEAR SIJAWAHI KUMSALITI NAAPIA NDUGU ZANGU,,,,,nilijitahidi sana kumtunzia heshma nikiamini kwamba nakua mfano wa kuigwa kwa mwanamke wangu ili naye ajitunze. WHY WANAWAKE MNATUTESA?

HAMUELEWEKI MNATAKA NINI KWENY HAYA MAPENZI,,,,,TUWAFANYIE NINI ILI MTULIE?

Kama ni kweli wanasemaga WOMEN CHEAT WITH FEELINGS basi huyu baeb wangu nahisi hata kama nitamuoa ila huyo jamaa yake bado atanichapia tu DAADEEKIII

NILICHOJIFUNZA KUPITIA HUYU BINTI:

1: Mwanamke ukimuonesha kumpenda sana,,,ukiwa loyal sana,,,ukijifanya sharukh khan sana basi atakudharau na kukuona fala kwamba huwez muacha,,,so nimejifunza KUBALANCE SHOBO

2: Oeni mwanamke BIKIRA,,,, hii itasaidia sana kupunguza maumivu ya kuchapiwa,,, pia itakufanya ujione wewe ndo champion kwa mwanamke wako hata kama ukigongewa,,, ila siyo kwamba ndo itazuia kuchapiwa.

3:Mliojaaliwa watoto jitahidini sana kulea watoto wenu wenyewe,,,hizi habari za kupeleka mtoto akaishi sijui kwa uncle,,,bamkubwa,,,sijui ODO kwa maisha ya sasahivi ni ngumu sana mtoto wa kike kuruka viunzi.

4:Vijana wenzangu jitahidini sana kumtafuta kiumbe anaitwa PESA !! maana kuna msemo huwa unasema "mwanaume haridhiki ila huwa anatosheka,,ila mwanamke huwa anotosheka ila haridhiki,,,"

DEAR LADIES,,,,,how do you manage to cheat and at the same time you just maintain your love quantity ??? mnawezajee?

Kwanini tukiwapenda or tukiwa loyal mnatuchukulia mafala or mabwege?
Mchumba hasomeshwi tena bora mchezo umeujua mapema
Ungemwacha kidgoo tu amalize chuo eti umuoe angekusaliti si ungejiua wewe
 
Nilichogundua wewe jamaa ni fala.
Hapana broo haya mambo hayanaga bingwa mzee ila huwa tunajimwambafai tu mbele za watu but ukweli ni kwamba ukishampenda mwanamke halafu una kazi inayokuingizia chochote ni lazma tu utajikuta unamhudimia unconditionally broo,,, hawa viumbe ni hatari sana hasa ukikuta kakunogesha na kale kambususu hata pantoni na mafly over yote unaweza jikuta ukamuhonga mzee
 
Mchumba hasomeshwi tena bora mchezo umeujua mapema
Ungemwacha kidgoo tu amalize chuo eti umuoe angekusaliti si ungejiua wewe
Broo nahisi ukiachana na maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu yako ,,, basi maumivu mengine makali kwetu sisi wanaume ni kugundua umechapiwa daahhh yaan unaweza hisi umedhalilishwa daadeekii ,,,, kila ukiwaza jinsi ambavyo jamaa pengine lilikua linampelekea moto linambidua mikao ya paka chongo basi unabaki kuumia tu daadeekii zetu wanaume ndo maana tunakufaga mapema aisee
 
Pole sana Mkuu Nafikiri umejiumiza sana kwa tumaini la kuwa ukimsaidia utambeba mazima.
Hicho kipengele cha kusomesha kimetoa watu machozi sana.
Siku nyingine msaidie mtu ukiwa huna tumaini la kupata chochote toka kwake ukumbuke binadamu tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha sanaaa...

Hilo suala la ndugu kutafunana linazidi kukua siku kwa siku kwa sababu hata baadhi tunaoshuhudia kama mimi tunakaa kimya tu.
Daaahhh yanayotokea kweny familia za watu sikuizi hupaswi kumuamini mtu akulelee mwanao mkuu,,, watu sikuizi ustaarabu hamnaaa kabisaa,,,, tena hawa wanaojiita uncle,,, cousin,,, bamkubwa sijui bamdogo ogopa sana mkuu mwanao atachakazwa kinoma bora ulee mwenyew tu
 
Back
Top Bottom