Nifanyeje, mapenzi yasiniumize.[emoji24] This is too much!

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
940
1,847
Habari za muda huu wana JF.

Katika changamoto kubwa niliyonayo katika maisha yangu ya mahusiano..nipo sensitive sana kwenye mapenzi hasa pale mpenzi wangu anapofanya jambo la kuniumiza.

Kiufupi mimi ni aina ile ya wanaume, nikisha mpenda mtu...nawekeza moyo wangu kwake, nakua sina mpango kabisa na wanawake wengine, jambo hili limenifanya, jambo lolote ambalo halipo sawa, naliona au kulisi kwa urahisi sana, yani harufu ya usaliti na ihisi mapema sana.

Sasa ikatokea tu, hata nikahisi kuwa mwenzangu ananisaliti moyo wangu huwa unauma sana mpk kufikia hatua nakosa kabisa furaha.

Sometimes natamani, kuwa busy na mambo yangu nisimfwatilie kwa lolote lakini nashindwa, jambo hili limenifanya nisidumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu. Mara nyingi huwa mm ndio nayavunja mahusiano kwa kuhofia kuumia zaidi.

Sasa hali hii imepelekea kutokuona mwanamke sahihu wa kuanzisha nae maisha. Kilichonisukuma leo kuja hapa jukwaani, kuna binti nipo nae katika mahusiano 2 yrs now, lakini hivi karibuni nimekuja kugundua mapicha picha anayonifanyia moyo wangu umekuwa mzito sana kuendelea nae katika hatua muhimu ya ndoa.

Ingawaje yeye hajui chochote kama nimeshamfatilia na kugundua madudu anayofanya nyuma ya pazia.

Ndugu zangu...naombeni ushauri wenzangu mnafanyaje, ni kwamba nakutana na wanawake wasio sahihi kwangu au wote wapo hivyo ila mimi nimekosa uvumilivu, au niji tune vipi mapenzi yasiniumize kiasi hiki.

Kiukweli nimechoka, naona kabisa nina safari ndefu sana yakupata mwenza wa maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau...karibuni.
 
Epuka kuisikilizia papuchi ya mwanamke.

Ipuuze kama vitu vingine hutoumizwa na mapenzi ktk maisha yako..

Mpuuze mwanamke,,, fanya mambo yako ya maendeleo.

Wengi wanaoumizwa ni wale wapenda romantic ,
Love sms day and night,,
Kama ,,red rose,,missing you,,not without you.,never fallen before.. Nk..
 
Habari za muda huu wana JF.

Katika changamoto kubwa niliyonayo katika maisha yangu ya mahusiano..nipo sensitive sana kwenye mapenzi hasa pale mpenzi wangu anapofanya jambo la kuniumiza.

Kiufupi mimi ni aina ile ya wanaume, nikisha mpenda mtu...nawekeza moyo wangu kwake, nakua sina mpango kabisa na wanawake wengine, jambo hili limenifanya, jambo lolote ambalo halipo sawa, naliona au kulisi kwa urahisi sana, yani harufu ya usaliti na ihisi mapema sana.

Sasa ikatokea tu, hata nikahisi kuwa mwenzangu ananisaliti moyo wangu huwa unauma sana mpk kufikia hatua nakosa kabisa furaha.

Sometimes natamani, kuwa busy na mambo yangu nisimfwatilie kwa lolote lakini nashindwa, jambo hili limenifanya nisidumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu. Mara nyingi huwa mm ndio nayavunja mahusiano kwa kuhofia kuumia zaidi.

Sasa hali hii imepelekea kutokuona mwanamke sahihu wa kuanzisha nae maisha. Kilichonisukuma leo kuja hapa jukwaani, kuna binti nipo nae katika mahusiano 2 yrs now, lakini hivi karibuni nimekuja kugundua mapicha picha anayonifanyia moyo wangu umekuwa mzito sana kuendelea nae katika hatua muhimu ya ndoa.

Ingawaje yeye hajui chochote kama nimeshamfatilia na kugundua madudu anayofanya nyuma ya pazia.

Ndugu zangu...naombeni ushauri wenzangu mnafanyaje, ni kwamba nakutana na wanawake wasio sahihi kwangu au wote wapo hivyo ila mimi nimekosa uvumilivu, au niji tune vipi mapenzi yasiniumize kiasi hiki.

Kiukweli nimechoka, naona kabisa nina safari ndefu sana yakupata mwenza wa maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau...karibuni.
Mapicha licha gani hayo kaka? Kwamba wapo ambao ana demka na kunyemka nao besides u?
 
Namaanisha....ananisaliti
Ah pole mzeya...hawa viumbe wengi wao kudemka na kunyemka na migegedo mengine ni given mzee.

Ila kama umeshagundua wee piga chini tafuta mbususu nyingine. Zimajaa tele
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukimchambua Bata huwezi kumla , hakuna mkamilifu 100 katika maisha hasa viumbe wanawake ,ww mengine mezea tu kama makosa ya kibinaadamu ili mapenzi yako yaimarike yasonge mbele bila ya hivyo utakufa hujaowa ,sisi wengine tunampango wa kuowa single mother ambae alishikwa kila sehemu ya mwili wake miaka mingi ,maisha mafupi haya msiyafanye kama mtaishi longtime
 
Maisha ni lazima yaendelee. Umegundua huyo anakusaliti piga chini pumzika ili maumivu yako ya kusalitiwa yapungue kisha uanze mapenzi mpya na yule atakayekuvutia.
Habari za muda huu wana JF.

Katika changamoto kubwa niliyonayo katika maisha yangu ya mahusiano..nipo sensitive sana kwenye mapenzi hasa pale mpenzi wangu anapofanya jambo la kuniumiza.

Kiufupi mimi ni aina ile ya wanaume, nikisha mpenda mtu...nawekeza moyo wangu kwake, nakua sina mpango kabisa na wanawake wengine, jambo hili limenifanya, jambo lolote ambalo halipo sawa, naliona au kulisi kwa urahisi sana, yani harufu ya usaliti na ihisi mapema sana.

Sasa ikatokea tu, hata nikahisi kuwa mwenzangu ananisaliti moyo wangu huwa unauma sana mpk kufikia hatua nakosa kabisa furaha.

Sometimes natamani, kuwa busy na mambo yangu nisimfwatilie kwa lolote lakini nashindwa, jambo hili limenifanya nisidumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu. Mara nyingi huwa mm ndio nayavunja mahusiano kwa kuhofia kuumia zaidi.

Sasa hali hii imepelekea kutokuona mwanamke sahihu wa kuanzisha nae maisha. Kilichonisukuma leo kuja hapa jukwaani, kuna binti nipo nae katika mahusiano 2 yrs now, lakini hivi karibuni nimekuja kugundua mapicha picha anayonifanyia moyo wangu umekuwa mzito sana kuendelea nae katika hatua muhimu ya ndoa.

Ingawaje yeye hajui chochote kama nimeshamfatilia na kugundua madudu anayofanya nyuma ya pazia.

Ndugu zangu...naombeni ushauri wenzangu mnafanyaje, ni kwamba nakutana na wanawake wasio sahihi kwangu au wote wapo hivyo ila mimi nimekosa uvumilivu, au niji tune vipi mapenzi yasiniumize kiasi hiki.

Kiukweli nimechoka, naona kabisa nina safari ndefu sana yakupata mwenza wa maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau...karibuni.
 
bado hujawa MWANAUME.....stilll mvulana....jifunzage PUNYETO....no chit chat.....just https://jamii.app/JFUserGuide and accelerate.....free stress
 
Tafuta kazi baadhi ya ubongo wako udeal na kazi ukiwa jobless unakuwa unawaza mambo ya nye.ge nyeg tu yaani unajiona kama umeajiriwa na mapenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom