EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,524
Why should I remember her??
What's her name again?
How long did you live with her?Why should I remember her??
What's her name again?
Aliachwa kwa shari huyoKwamba hadi jina umemsahau
Sijawahi kuwa na ex nina principle za kula viporoWangu.alikua anacheza mziki kitandani,
Mungu amjalie huko alipoolewa.
Huyu.mwanamke sijawahi.kumsahau hata baada ya kuoa na yeye kuolewa.
AKON dont matter live long my Rose aka AggieView attachment 1770872View attachment 1770873
Natamani aisee sema yupo mbali🦮🦺🦺Kwa sisi wazeee wa kupashaa viporo
Mwendo ni uleule "" Stop bad-mouthing your EX"
muongoSijawahi kuwa na ex nina principle za kula viporo
Endelea kukuaBado sijafanikiwa.
Itoshe kumuombea Baraka na mafanikio tele kwa kila kitu anachokifanya.mwamba alinibeba sehemu ambayo hata ndugu wakaribu waliniacha.Mungu akutunze J popote ulipo.
Heah she/ he kept you when you needed him/herKwa sisi wazeee wa kupashaa viporo
Mwendo ni uleule "" Stop bad-mouthing your EX"
uliachana nae vipi??Ex raha sana haombi ela we unajilia 2 mzgo
SureMimi kwa kawaida sinaga uadui na my exes, they all got love for me. Na hata changamoto za hapa na pale tunawasiliana.
Lakini kupasha viporo big NO. Women these days aint to be trusted, especially the ones we break up with.
Mimi kwa kawaida sinaga uadui na my exes, they all got love for me. Na hata changamoto za hapa na pale tunawasiliana.
Lakini kupasha viporo big NO. Women these days aint to be trusted, especially the ones we break up with.
Off topic, kwanini hukuolewa nae?Itoshe kumuombea Baraka na mafanikio tele kwa kila kitu anachokifanya.mwamba alinibeba sehemu ambayo hata ndugu wakaribu waliniacha.Mungu akutunze J popote ulipo.
Leah popote ulipo Mungu akubariki sana ulikua unajua kutumia vizuri lips zako softWangu.alikua anacheza mziki kitandani,
Mungu amjalie huko alipoolewa.
Huyu.mwanamke sijawahi.kumsahau hata baada ya kuoa na yeye kuolewa.
AKON "dont matter"
live long my Rose aka Aggie
View attachment 1770872View attachment 1770873