Watoto wa kike vijijini ni balaa

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yaani vijijini mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenzi wakiwa watoto chini ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani ndio pabaya kuliko basi kwa uhalisia vijijini mmenishangaza.

1620118189209.png
 
Watu kama nyie tokea mjini unakuta ndio mnagombea Ubunge! Hamjui hata maisha halisi ya watu wa bushi huko. Toka enzi na enzi huko bushi mtoto anamlea mtoto, nguo moja inavaliwa hadi inachanikia mwilini, maji yalipo kilometa 10, koroboi haina mafuta miezi6 iko uvunguni, jembe la mkono, kushika pesa ya noti kwa msimu.
 
Tena ni zaidi ya balaa kule wazazi hawawachungi sana mabinti zao kwaio akienda kisimani anakutana na baharia anamlaghai kwa maembe,ndizi n.k basi baharia anakula tunda kimasihara chaaap kwa haraka vingine vikikaa vibaya baharia anamvutia vichakani anakula mzigo uku town kupata sehemu ya faragha ni tabu kule vichaka vinanuka ngono kama ambiansi.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yan vijijin mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenz wakiwa watoto chin ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani ndio pabaya kuliko basi kwa uhalisia vijijin mmenishangaza.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Ukweli ndio huu.
 
Inategemea mkuu ila hebu tuonyeshe picha za hao watoto
 
Nchi bado ina safari ndefu sana sana, hawa wabunge wajitafakari, wajitoe mhanga na kuelewa wakitaka ubunge basi ni kutatuwa kero kama hizo na siyo mahela waliojipangia kulipana..
 
Kama hao?
Watu kama nyie tokea mjini unakuta ndio mnagombea Ubunge! Hamjui hata maisha halisi ya watu wa bushi huko. Toka enzi na enzi huko bushi mtoto anamlea mtoto, nguo moja inavaliwa hadi inachanikia mwilini, maji yalipo kilometa 10, koroboi haina mafuta miezi6 iko uvunguni, jembe la mkono, kushika pesa ya noti kwa msimu.
JamiiForums-1749543853.jpg
 
Tena ni zaidi ya balaa kule wazazi hawawachungi sana mabinti zao kwaio akienda kisimani anakutana na baharia anamlaghai kwa maembe,ndizi n.k basi baharia anakula tunda kimasihara chaaap kwa haraka vingine vikikaa vibaya baharia anamvutia vichakani anakula mzigo uku town kupata sehemu ya faragha ni tabu kule vichaka vinanuka ngono kama ambiansi

nasema uongo ndugu zangu?
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
JPM 😅🖒😂😃🍷
 
Back
Top Bottom