Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole. Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa ajili ya kujifungua salama, andaa vifaa vifuatavyo: - Sabuni na maji kwa ajili ya kunawa mikono mara kwa mara, kumsafisha mama, na kusafisha vifaa tiba. Vilevile andaa beseni au bakuli kwa...
3 Reactions
0 Replies
9K Views
Guys, habari zenu, Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nipige peku, nachochea haswa. Mnisaidie, kwani...
4 Reactions
45 Replies
11K Views
Nimekuwa mkazi wa kudumu katika hii dunia almost miaka thelathini, nina experience ya kutosha! Nimesoma Mbeya, nikaenda Iringa halafu nikamalizia dar, technically mimi ni mtoto wa mjini! Hiyo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa Poleni na majukumu na pilika pilika za wiki nzima Nina swala moja linalonisumbua sana kichwa kwa sasa, na nimekuja kwenu kuomba ushauri wa jambo hili. Mimi ni mwanaume...
18 Reactions
124 Replies
10K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari...
8 Reactions
82 Replies
9K Views
Bado sijutii uamuzi niliofanya, Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto...
45 Reactions
78 Replies
7K Views
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako...
12 Reactions
51 Replies
5K Views
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa sana la ndoa sogea tuishi hali iliopelekea kupoteza na kuondoa heshima na ladha ya ndoa kwa ujumla. Unakuta binti jioni yupo kwao asubuhi mnaamka mnamwona kwa...
7 Reactions
46 Replies
8K Views
Waungwana hasa wazee wenzangu nipo kwenye taharuki kubwa hapa. Nilikuwa na mtalaka wangu mmoja juzi kati alikuja kunitembelea kama kawaida tukawa katika majonzi ya kuvunjika kwa pambano la watani...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Umri usiozidi miaka 35. Awe mtanzania wa kuzaliwa. Asiwe amewahi kuwa ndani ya Ndoa (Kuolewa na kuachika-Hapana) Awe amesoma angalau kiasi. Awe mwenye Hofu ya Mungu. Awe anajitambua na mwenye...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
Mniruhusu nicheke kwanza....Girls, you wanna know? Sababu chache kwanini Wanaume ni waongo hizi hapa: 1. WANAJUA Uongo wa Mwanaume ni kama muvi. Kabla hajadanganya anapanga angle zote na majibu...
1 Reactions
6 Replies
913 Views
Wataalam mnaelewa maana ya hii kitu? Mke kuhakikisha anatumia maji yaliyotumika kufulia kudeki uvunguni kila mara. Na usiku mke kuweka sufuria uvunguni likiwa na tango, mkaa na chumvi inamaana gani?
11 Reactions
49 Replies
7K Views
Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Habri zenu wadau Mimi nimekuja hapa kutokana na hii tabia ambayo nimekuwa nayo miaka ya karibuni na naona inazidi kukita mizizi. Kifupi ni kwamba siwezi kabisa kubembeleza mwanamke, yaan akisema...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nahitaji mke rafiki na hatimaye kuwa mke,sifa zifuatazo zinatakiwa: I) Awe mkatoliki na anajua maana dini ii) Hajawahi kufunga ndoa III) Awe na umri kuanzia miaka 22-28,hata akiwa na mtoto mmoja...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna sababu nyingi za kibinafsi, kimaadili, kiuchumi na kijamii zinazoonesha kuwa wakati mwengine kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo lisilobudi. Kabla ya kulieleza jambo hili ni vyema tukaelewa...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za jioni jf, napenda kutanguliza shukrani zangu. haya moja kwa moja nijikite kwenye mada, ni kama wiki mbili zimepita, toka msichana wa jilani atoroke kwao. wazazi wake...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:- 1.Ni wa mooooto 2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe 3.Hachakai haraka 4.Halafu...
33 Reactions
686 Replies
165K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…